Heko M. M. Mwanakijiji kwa makala (gazeti la Mwanahalisi)

Rafiki yangu tumain amefulia. Yuko hapa kushambulia kila linalohusu chadema, kaishia kutapika pumba. kwi kwi kwi kwi kwi
According to whom?

Sitegemee wewe uwe kipimo changu kwamba ni pumba au la?

Chadema is a fake party na 2010 election itaonyesha reality ya chama chako lets wait and see
 
Pamoja na kwamba niliandika hii "thread" kwa kusudi la kumpongeza M. M. Mwanakijiji kwa kazi yake ya kuandika maandishi yenye msaada mkubwa kwa jamii (umma) wa watanzania, napenda pia kumpongeza ndugu Waberoya kwa umakini wake. Nadhani Tumaini kama ni wa kuelewa atakuwa ametoa uchafu kwenye ubongo wake kupitia maandishi haya ya kisayansi kutoka kwa Waberoya. HONGERA (Mwkjj na Waberoya) kwa kujaribu kumwelewesha tumaini ambaye, hata hivyo nina wasiwasi kama atakuwa na uwezo wa kuelewa maandishi haya mliyoyaandika kumpa ujumbe na pia kumpa elimi ambayo katika shule yake yote hakuwahi kuipata.

Namshauri pia kwamba (Tumaini), tunakuomba tu wadau wa JF ujiondoe kwenye uwanja huu maana hujui umuhimu wa kazi tunayoifanya humu. Lakini pili umeshajisaliti mwenyewe kuendelea kuwa mwana JF.
Mwandikie Mod anaondoe crap!
 
Sasa unaandika ili iweze, je kwa kuandika umeajiri watu viwandani? Hivi mwanazuoni gani huyu asiyejua hata akifanyacho. Ndiyo maana sasa hivi wahitimu wengi wanaonekana kama vihio tu, kumbe ndiyo sababu hii. Hivi wewe utamjengea mwanafunzi uwezo wa kufikiria na hatimaye kushiriki vyema "kuargue" in a positive direction? Inabidi kazi hiyo ukaresign tu, maana hujui ukifanyacho.
Unataka kusemaje? hueleweki
 
unaweza kufikiria umeandika hekima; je wale walimu wa vyuo vikuu ambao kutwa nzima kazi yao ni kuandika na kujenga nadharia wanazalisha wapi? Je wale walimu wa shule ya msingi wanaotoa mafunzo kwa watoto wetu wana viwanda gani vya kutoa ajira?

Ungetumia sekunde chache kufikiri ungeona kuwa Mtume Mohammed hakuanzisha kampuni na wala hakuajiri wetu na yeye Yesu Kristu hakutoa ajira!

Ukiangalia kwa karibu utaona kuwa Plato, Socrates, na wale wataalamu wa kale waliojenga nadharia tunazozitumia leo hii hawakuwa na makampuni zaidi ya kujenga hoja kwa kutumia kalamu zao na uwezo wao wa kufikiria.

Kama unaamini kuwa watu wote ili watoe michango yao kwa jamii ni lazima watoe ajiri, wamiliki viwanda, n.k basi unageuka kuwa mkanaji wa historia na msaliti wa ukweli wake. Jamii za mataifa zimeundwa na kuboreshwa na michango ya watu mbalimbali kwa kutumia uwezo, nafasi, na vipaji vyao mbalimbali. Wote kama mashine kubwa yenye sehemu mbalimbali hutoa michango yao na kufanikisha jukumu lao.

Ni kwa sababu hiyo hata wewe una mchango wako unapotukosoa na kuonesha makosa ya hoja zetu na haki yako hiyo si ya kupuuza na ni mchango mkubwa vile vile. Kwa hiyo usidharau nguvu ya kila unachofanya ati kwa vile huna kiwanda au hutoi ajira!

Mkuu mkjj hapa umefunga kazi mwenye silio na asikie mwenye uwezo wa kuelewa na aelewe.
 
Echonza, hongera kumpongeza Mzee MKJJ. Hiki ni kichwa sijaona mfanowe humu JF. Natamani sauti yake isikike kwa Watanzania wengi zaidi na ikibidi apande jukwaani. Japo MMKJJ ni CCM, naamini ni miongoni mwa wana CCM wachache wenye guts to 'call a spade, a spade' not a big spoon!.
japo anaendelea
Labda kama una info tofauti na kigezo cha michango yake hapa JF ,ambapo in my opinion MKJJ is nothing close to be a "mwana CCM" Kwa position aliyonayo,angekuwa mwa CCM asingebother kuwakosoa...Hayo ni maoni yangu binafsi,i might be wrong,maana si kuna CCM wapiganaji?
hahaha Pasco.. usiumie sana; kadi wamenikatalia ati nitakuwa pandikizi; kwa hivyo fikra zangu bado ni huru.
Alinyimwa ulaji nini? maana anavyowalipua waungwana!!! Siamini kama ni mwana CCM
Yaani wamekukatalia! Kweli hao ni wajinga kabisa, hawafahamu maana ya constructive criticism? Au hata ile methaliiswahli kuwa mchawi mpe mwanao akulelee naoyo imewapiga chenga?!?
Nimeomba kadi karibu miaka miwili iliyopita; hivi majuzi nikafikiri wananipatia lakini wakawa wanataka vithibitisho utadhani nataka kujiunga CIA.. Mwishoni wananiambia "tumesikia una mpango wa kutusafisha... CCM safi haiitaji kusafishwa"..
.
Pole Mzee, kadi is nothing but a piece of paper, kinachomater ni ile genuine desire deep down your heart to see Tanzania change for the better. Japo wamekukatalia hiyo kadi, amini maneno yangu, utafikia wakati CCM watapata busara za uoni wa ndani jinsi unavyowasaidia, watakuita, watakubembelezea kadi, na utaitwa Magogoni na kuobwa 'tusaidiane'!.

Wewe kwa upande wako, just keep on being who you are, keep on doing whaqt you do as long as is for the good of Tanzanians, nasi tuko nyuma yako regardless itikadi zako kwani thamani yako inatokana na mchango wako kwa jamii na ndipo hapo heshima yako inapolalia kama wengine wetu tulivyo nyuma ya kina Zitto, Slaa na Kitila Mkumbo na wengineo wengi tuu japo we don't share itikadi moja za vyama vyao.
Nafanya tuu Rejea!.
Kuna watu wanadhani kuwa kuna members humu wamebadilika, au mwanzo walikua upinzani lakini sasa ndio wamebadilika na kuamua kuitumikia CCM!. No way, hawakuanza leo!.

Hii ni thread ya 19th December 2009!.

Natumaini kwa hii angalau mtatuelewa tunapo waambia,
CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?
Kwenye msafara wa Mamba, na Kenge wapo!
[URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/922331-nani-hatari-zaidi-kati-ya-malaika-aliyegeuka-shetani-au-shetani-aliyegeuka-malaika-3.html"]Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au shetani Anayejifanya Malaika?!.
Online Puppets: Kumbe Tunao "Puppets" Wengi Kuliko Tunavyo jidhania!.

[/URL]
[URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/274645-online-puppets-kumbe-tunao-puppets-wengi-kuliko-tunavyojidhania.html"]NB. Naomba uhuru [URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/896127-kwenye-msafara-wa-mamba-na-kenge-wapo-it-is-either-with-us-or-against-us.html"]wa mtu kujiunga na chama chochote cha siasa, uhe[/URL][/URL]
[URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/274645-online-puppets-kumbe-tunao-puppets-wengi-kuliko-tunavyojidhania.html"]shimi[/URL][URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/274645-online-puppets-kumbe-tunao-puppets-wengi-kuliko-tunavyojidhania.html"][URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/896127-kwenye-msafara-wa-mamba-na-kenge-wapo-it-is-either-with-us-or-against-us.html"]we, au kumuunga mgombea yoyote, au kumpinga mgombea yoyote!.

Pa[/URL][/URL]
[URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/274645-online-puppets-kumbe-tunao-puppets-wengi-kuliko-tunavyojidhania.html"]sco [/URL]

 
Hahahaha ma ccm watu ndo hao washaamua kufanya mabadiliko nikuvumilia tu maana kamaulivyo sema usimlazimishe mtu kupenda cha bt habar nikwamba ccm imesha wauz wananchi ko hawana jinsi yakutafuta tundu lakutokea da inatubidi twende ukawa tu bro bt nakushanga unavyo kipakamafuta chama chako nawakat wananch washa kichoka MABADILIKO LOWASA.LOWASA MABADILIKO.
 
Back
Top Bottom