elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,760
Kamata mwizi men!!!
Kwa jinsi inapoelekea digital money ndiyo inaenda kuwa pesa hakuna way ya kuepuka.Wizi upo kwenye Kubadilisha liquid money kuwa solid cash
Kama utojali weka somo kidogo kuhusu BITCOIN.Kwa jinsi inapoelekea digital money ndiyo inaenda kuwa pesa hakuna way ya kuepuka.
Sasa hivi bank kibao zinakubari bitcoin, mitandao kibao ya kibiashara inakubari malipo kwa botcoin.
Bidhaa kibao unaweza lipia kwa bitcoin
Huo mtandao unahusiana na mambo ya kibiashara na uchumi.
Paypal na ebay wako mbioni kuruhusu kulipia kwa bitcoin
Much know acha kuishi kwa hisia.tunajua umeleta hii habari kama chambo kwa samaki.. unapiga bla bla hapa mwishoni useme una bit coins zako unaziuza.. au ujifanye wakala.. utupige kama d9 na deci
Siyo mjuvi sana wa hii kitu ila ni crypto currency, yani ni digital money siyo tangible.Kama utojali weka somo kidogo kuhusu BITCOIN.
We una bitcoin ngap,? Ad sasa mkuunaona bitcoin 1=6,600$ kwa sasa.
Na inazidi kupanda tu aisee hii ni pesa ya kununua.
Kuna nchi moja ulaya inajiandaa na kuachana na matumizi kabisa ya pesa za makaratasi na coin wanataka wahamie kwenye digital money.
Sina hata moja mkuu nilikuwa naona ni utapeli ila sasa nimeona mi fursa nliyoikosa aiseeWe una bitcoin ngap,? Ad sasa mkuu
Unaichimbaje?Siyo mjuvi sana wa hii kitu ila ni crypto currency, yani ni digital money siyo tangible.
Aliyeanzisha hajulikani maana alijipa jina la uongo.
Inatumika kununua vitu na kulipana kama ilivyo mpesa au tigo pesa.
Sema sasa hii thamani yake imepanda sana kwahiyo wakati inaanza mwaka 2009 haikuwa na thamani, thamani yake ilianza kurekodiwa na kuuzwa mwaka 2010 haikuwa kufika hata 1$, thamani yake kubwa kuwahi rekodiwa mwaka 2010 ilikuwa bitcon moja sawa na 0.39$.
Kwa hiyo mfano ungenunua bitcoin 1000 ungetumia dollar 390.
Leo ungeamua kuziuza ungepata 6,600,000$ ambayo kwa tshs ni bilion zaidi ya 13 za kitanzania
Kwanini inapanda thamani sana?
Jibu ni kwamba jumla ya bitcoins zitakazokuwa kwenye mfumo ni milion 21, ambazo zinajiongeza kwenye mzunguki kila baada ya muda flani.
Mpaka sasa nusu ya bitcoins kati ya hizo milion 21 tayari ziko kwenye mzunguko ikiwa na maana zaidi ya bitcoins milion 10, na nusu bado haijaingia kwenye mzunguko itaingia mwaka 2020.
Bitcoin inapatikana kwa kuichimba kama dhahabu tofauti yake unaichimba kqa kutumia computer, ambapo kila block 1 ni sawa na bitcoin 12.5, na kila siku zinachimbwa kama bitcoin 3,600.
Kama kuchimba huwez unanunua,
Inasemekana kwamba mtengenezaji mkubwa wa software ya bitcoin ajulikanaye kwa jina fake la Satoshi Nakomoto anamiliki bitcoin milion 1.
Hivyo utaona ya kwamba kuna bitcoin chache kwenye mzunguko wakati kila siku wahitaji wanaongezeka.
Inabidi uwe na pc yenye nguvu kweli kweli kuichimba na saa nyingine inabd muungane watu wenye pc zenye nguvu kadhaa kuweza kufanikiwa kupata hiyo bitcoin.Unaichimbaje?
DuuuuhInabidi uwe na pc yenye nguvu kweli kweli kuichina na saa nyingine inabd muungane watu wenye pc zenye nguvu kadhaa kuweza kufanikiwa kupata hiyo bitcoin
Fursa bado ipo mkuuSina hata moja mkuu nilikuwa naona ni utapeli ila sasa nimeona mi fursa nliyoikosa aisee
Unnaipata vzur lkn bitcoinSina hata moja mkuu nilikuwa naona ni utapeli ila sasa nimeona mi fursa nliyoikosa aisee