mambo gani mazur.hamna lolote zaidi ya kuwatesa tu watoto wetu
mambo gani mazur.hamna lolote zaidi ya kuwatesa tu watoto wetu
Kuteswa ni kawaida maana kule tunafundisha ukakamavu sio kupiga jitaa wala kinanda tunafundisha roho mbaya pamoja na nidhamu
Wanaleta stor za jkt kuwaumiza watoto wetu wakat watoto wao wanasoma ulaya na jkt hawaend,sheria inataka vijana waliomaliza kdato cha sita bongo,ina maana inawatoa vijana waliosoma nje ya nch ambao weng n watoto wa vgogo,kwa faida ip ya jkt,kuumiza watoto?huu ni ujinga.
halafu hii sheria ya kuwalazimisha form six kwenda jkt imepitwa na wakati,uzalendo upi huo wanaofundishwa wa kusimama na kichwa?au kuruka kichurachura? uzalendo unatokana na fikra na sio mateso ya mwili.
zema21 Nawashauri wawe makini na matumizi ya viuatilifu. Ni vyema watumie vifaa vya kujilinda na sumu. Vinginevyo, baadhi yao watamaliza mafunzo wakiwa na afya mbovu.
View attachment 132272
mkuu ,jkt hakuna anayejali afya za hawa vijana,huo ndio uzalendo wanaofundishwa unaohatarisha mpaka afya zao