Tusaidiane kushangaa Kivuko kilichojengwa kwa milioni 7.8 huko Songea

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
CCM mbele kwa mbele

Hiki ni kivuko killichopo katika kata ya Lizaboni mjini Songea mkoani Ruvuma. Ujenzi wake umegharimu kiasi cha Sh. 7.8 milioni. Hapa ni wakati kikikaguliwa na Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM ya Mkoa.
FB_IMG_1561299613041.jpg
 
hiki hakifikishi hata laki tatu! cag akakikague tuone kama kinagharimu hio hela!
yaani haya majitu na nguo zao😡😬
 
Kama wamejenga Kwa pesa zao basi kuna mmoja hapo kawaingiza wenzake mkenge, amewaibia mchana kweupee!


Mkumbuke Kipanya alisema "ukitaka kupanda chati kisiasa, tengeneza tatizo, kisha ulitatue" nilichoona hapo ni igizo, yawezekana hao wakaguzi waliandaa mpango mzima na hapo wamerudi kujipandisha chati
 
Back
Top Bottom