ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,675
Kuongoza ma mbumbumbu ni raha sana unayageuza geuza unavyo taka
Hafai kuwa Afisa habari, namna anavyo uongelea mpira wa miguu ana fit katika uhamasishaji, awe Afisa uhamasishaji maana vingi anavyo ongea havijawahi kuhusiana na soka ni maswala ya hamasa.HYO NDO KAZI YAKE. Asikuumize kichwa
Ilitakiwa awe Meneja wa Miso Misondo Group!Hafai kuwa Afisa habari, namna anavyo uongelea mpira wa miguu ana fit katika uhamasishaji, awe Afisa uhamasishaji maana vingi anavyo ongea havijawahi kuhusiana na soka ni maswala ya hamasa.
Namna anavyo ongea nikama muhamasishaji wa vikundi vya sanaa za maonyesho.