Hekaya Fupi

Hekaya Fupi

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,315
Hekaya Fupi

"Wajemeni," alisema panya, "dunia inazidi kuwa ndogo kila siku. Awali ilikuwa pana mno kiasi kwamba niliweza kukimbia huku na kule na nilifurahia kuona kuta zikiibuka kulia kwangu na kushoto, lakini kuta hizi ndefu zilianza kukaribiana kwa haraka sana kiasi kwamba tayari niko kwenye chumba cha mwisho, na pale kwenye kona pana mtego ambao hakuna namna lazima nipite ulipo."

"Lakini mbona unaweza kukimbilia upande ulikotokea," alisema paka, na akamla.

MWISHO

***

Hadithi hii iliandikwa awali kwa Kijeremani mnamo mwaka 1920 hivi ikipewa jina la Kleine Fabel

Duh! Hadithi ni fupi lakini kwa mbaali naona imejaa 'codes'...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom