brightoscar
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 369
- 546
Eneo la hekari 5 linauzwa Dodoma mjini karibia na chuo cha mipango linafaa kwa ujenzi wa hosteli,shule au nyumba ya wageni huduma muhimu kama maji na umeme zinapatikana kuzunguka eneo hilo link hati na vibali vyote bei 150,000,000/= maelewano yapo....