halafu ndo anatuambia eti,"ASILIMIA 75 YA WABUNGE WAMENIFUATA WANASEMA MAMA TUMECHOKA TUNATAKA KUACHA UBUNGE...".Hivi akiambiwa athibitishe usemi wake ataweza?nani hapendi kuishi mahali kama hapo?
Afu eti anatuambia anajuta kuwa mbunge na anatamani kuacha ubunge ni umaskini.,yaani huyu alitakiwa ajengewe nyumba ya tope iliyoezekwa tembe ili ajue maana ya umaskini sawasawa.