Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Picha bora ya siku kutoka Hai....
"safari ya mabadiliko inaendelea"...
Ni mwanae au mtoto wa mpigakura wake?
mbona kama anataka kumwangusha mtoto wa watu!!!
Hiyo na push up bora ipi?Upuzi mtupu
mbona kama anataka kumwangusha mtoto wa watu!!!
Huyo Mzee kulia anaomba Mungu Mzee wa nya asimdondoshe mtoto.
hapo mbowe analilia nini sasa?
Faiza siasa zisikutoe katika dini yako,hujafa hujaumbika.