Hekaheka Mtoni

Hekaheka Mtoni

Mpagama

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
127
Reaction score
7
Picha hii inatoa ujumbe gani?
 

Attachments

  • 06.jpg
    06.jpg
    70.4 KB · Views: 687
Ujumbe hauleweki, kwani title inasema mtoni wakati hapo hakuna mto zaidi ya kidimbwi sawa na beseni la maji ambapo papa anajivinjari.
 
hiyo picha ni forgery na mazingira kadhalika, hongera anyway :clap2:
 
Bwana labda heka heka baharini baada ya maji kupwa maana nikimuangalia huyo samaki namuona kama ni papa hivi papa huwa wanapatikana mtoni kweli!?
 
Mi nilijua kaweka hadithi ile ya darasa la sita Kitabu cha kiswahili cha..TUJIFUNZE LUGHA YETU'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom