King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,524
- 94,166
Wakuu ni kwamba kuna dada mmoja ni msanii chipukizi alibakwa! issue ilikuwa hivi kwa mijibu wa huyo dada "alipigiwa simu kuwa Rich anataka wasanii ili wakafanye shouting, basi wakapanga appointment ya kuonana.. wakaonana maeneo ya Ilala alipofika hapo alifatwa na vijana wa2 waliojitambulisha kuwa wametumwa na yule aliyekuwa akiongea naye. basi wakamchukua wakampeleka kwa yule kaka alipofika yule mkaka akambadilikia na kuanza kumtaka kimapenzi ila yule dada akawa anakataa baada ya kuwa amekataa yule mkaka akamlazimisha mpaka akambaka nyuma na mbele..... Story ndo hiyo iliyokuwa heka heka SO WADA TUJIHADHARI NA URAFIKI WA JINSIA TOFAUTI. hasa kutembeleana mahali panapoweza kushawishi vitendo vya ngono
kwa kifupi anaitwa SINGLE MTAMBALIKE! Alikuwa kwenye kamati teule ya mazishi ya kanumba!Ni Muigizaji/Mcheza Film wa bongo movie enzi hizo alikua Nyota Ensemble, 44U na kina Bishanga,Monalisa,Waridi etc Sasa Ni Producer/Director na Pia Actor,moja ya Movie yake kali inaitwa swahiba alicheza na Rose Ndauka na JB.
Inasikitisha sana!!
Inasikitisha kitu gani hapo? Mbona huyo Kanumba wenu alikuwa anambaka LuLu? hili ni jambo la kawaida sana kwa hawa Matapeli wanaojiita Wasanii.Inasikitisha sana!!
Ni Muigizaji/Mcheza Film wa bongo movie enzi hizo alikua Nyota Ensemble, 44U na kina Bishanga,Monalisa,Waridi etc Sasa Ni Producer/Director na Pia Actor,moja ya Movie yake kali inaitwa swahiba alicheza na Rose Ndauka na JB.
Naunga miguu hoja....radio ya waf...............................................tu
sidhani kama jina la movie umepatia, nadhani ni MAHABUBA! Kama sijakosea!
dah walitumia condomu hata?
Inasikitisha kitu gani hapo? Mbona huyo Kanumba wenu alikuwa anambaka LuLu? hili ni jambo la kawaida sana kwa hawa Matapeli wanaojiita Wasanii.
Inasikitisha kitu gani hapo? Mbona huyo Kanumba wenu alikuwa anambaka LuLu? hili ni jambo la kawaida sana kwa hawa Matapeli wanaojiita Wasanii.
Kanumba alianza kumbaka Lulu tangu akiwa na miaka 14. na hata siku ile aliyokufa huyo Kanumba wenu alikuwa anamlazimisha Mtoto Lulu ampe 0713......How far r u sure kama alikwua anambaka, ni kwamba wao walikubaliana teheteehehehhe, hata mdada alohojiwa clouds alisema kuwa "me ungenambia tangu natoka huko kuwa nakuja kufanya nini sio nafika hapa unanilazimisha" kama wangekubaliana sio issue, issue ni kumlazimisha!
am interested on this thing, wanao mfahamu watuambie, mi mwenyewe nimesikiliza hiyo story,
ameact muvie zifuatazo:- senior bachelor, chaguo langu, kijiji chetu/cha matumaini na nyingine, ana mwili.
ni nani?