nyanda5
Member
- Nov 25, 2014
- 49
- 40
Wakuu habari, kuna hekari 12. za muhogo zinauzwa kwa bei ya jumla, laki 5 kwa hekari moja. Ni muhogo baridi mbegu ni ya kienyeji(mwasunga) inayolimwa mkoani Tabora, shamba lipo Usoke-URAMBO. Muhongo ulilimwa mwaka jana mwezi wa 12, umestawi vizuri upo tayari kuanza kuvunwa mwezi ujao November, 2018 ukinunua unaweza kuvuna muda wowote unaohitaji hadi January. Kwa yoyote anaehitaji tunawezakuongea biashara au kama una mtu anahitaji mjuze.