FananiMedia
Member
- Jul 29, 2021
- 28
- 87
Wana mazimaombwe wanne hatari kusanywa pamoja na mtu asiyejulikana ambaye huwapa mipango ya wizi.
Mwaka mmoja baadae, wanajiita "The Four Horsemen",wanakuja na show ya mazingaombwe inayo vunja rekodi ya kuingiza na kutazamwa na watuwengi Las Vegas, mwisho wa show yao ni wataiba benki.
Benki wanayochagua kuiba iko Ufaransa, na wanafanya hivyo kama utani huku wakifanya show.
Tukio hilo linapelekwa kwa F.B.I., hivyo wanamteua Ajenti Dylan Rhodes kuchunguza.
Alma Vargas, Ajenti wa Interpol anakuja kumsaidia Rhodes,
Kwenye ucbunguzi wanamtafuta mwana mazingaombwe wa zamani Thaddeus Bradley(Morgan Freeman), ambae anakuja kutoa siri nyingi sana za kijanja za "The Four Horsemen"
Bradley anawaonyesha FBI jinsi walivyofanya mpaka kuiba, lakini bado haitoshi kumpa Rhodes sababu za kuwakamata "The Four Horsemen", jambo ambalo linamfanya Rhodes afikiri na kuumiza kichwa namna ya kuwatia hatiani na kuwafunga.
Na hapo ndio kazi inapo anzia kuopata ushahidi wa kuwakamata "The Four Horsemen", huku nao wana endelea na mipango ya kuedekea kuiba zaidi sehem tofauti
[Mzigo ni wa 2013] ni must watch Movie akili nyingi sana humo wana msemo wao humo ndani wanakwambia
"The more you concetrate the less you see NOW YOU SEE ME"
#fananimovies