Heightism ni aina mpya ya ubaguzi

mwambie vizuri mpe habari yake huyo anataka kuharibu ndoa yakko na daddy
hajui kuwa daddy ni mtu mwenye akili

My daughter umeona eh?? yaani hawa mashosti wa mujini kazi kweli kweli sasa huyu naye mdogo wangu anataka kuiteka ndoa yangu
 
Ila mbona sasa wanaume wanaoa tu hata wanawake warefu zaidi yao? As long as tendo linafanyika mukiwa horizontal basi papuchi itafikiwa tu
 
Tusijikataee !! WaTanzania asilimia kubwa ni wafupi...na hulka ya uzazi waKigeographia Sisi ni wafupi !! Wazazi wetu wengi ni wafupi....Sasa urefu utatokea wapi !! Yaani tupewe liinchi lenye rasilimali nyingi, ardhi yenye neema ,nk... na urefu tupewe bure !! huo upendeleo una sbb.ganiii??
 
we jipe moyo,..haya takwim nyingine hiz,..1.wanaoibiwa wanawake kila siku ni wafup. 2.mwanamke huanza kuchagua waref,akikosa kabsaa ndo anakuja mfupi 3.kwenye shereh na mitoko mwanamke analazimika asivae high hills kisa et atamwahibisha mume akat wote tunafaham mwanamke anapenda 4.waref ni,bill gates,aliko dangote,christiano ronaldo,michael jordan,michael jackson,mike tyson,hasheem thabeet,miss tanzania woote,..jakaya,nyerere,mandela,idd amin,gadafi,sadam,mimi,jay z,rihana,wanajesh wote,mamiss wote,mengi,na wengine weeeng,....WASEMAJE WEWE
 
daaaa,! tatizo watu wanachagua wapenzi ili wasifiwe na marafiki zao! unakuta kila siku ni kulialia tu mara hivi mara vile kumbe ulipenda phyaical appearance
inshort sifa za kijinga
hehehe ndo yaleyale IF THE RELATIONSHIP YOUR IN MAKES YOU CRY DAILY, YOUR DATING AN ONION:biggrin1:
 

Nani alikupa iyo takwimu mbona wengi tu walefu like me
 

Nimependa sana comment yako mkuu hongera sana
 
Urefu munaouongelea unaanzia futi ngapi?
 
Ilikuwa enzi hizo wasomi wachache ndo jeshi/polisi ndo walikuwa wanaangalia urefu kwa ss cheti ndo mpango kuna jamaa yangu alikuwa mfupi aliingia jeshini kama kawa pia kuhusu mabinti hamna kitu ukiwa na mkwanja tu hakuna cha ufupi unatia kazi tu
 
Humu kuna siku mada zinakua zimejaa ujinga tu! Yan hadi unajiuliza mtu aliyeandika ana akili kweli au!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…