Siku hizi kumekuwa na ubaguzi wa kimo/height cha mtu yale ya rangi na dini yanapungua.
Wanaume kwa wanawake katika nyanja nyingi,Kazi,mapenzi,siasa,Urafiki,sanaa na michezo wamekuwa wakibagua na kubaguliwa.
Mapenzi;Mfano humu utasikia natafuta me/ke lakini awe na urefu wa .....
Jeshi pia kimo nacho kigezo.
Sanaa;wafupi ndio wachekeshaji na kukejeliwa.Dwarfs at circus.
Siasa wanachagua warefu wakidhani ndio viongozi bora.Mkapa was short but I like him.
Kwa hiyo watu wamekuwa na insecurities kwa sababu ya kimo.
Anyway mi nina 5.6ft.Kwa wale wanaojiona wafupi wajiamini.
Mifano ya watu maarufu wafupi.Mg.A.H.Mwinyi,B.W.Mkapa,Joti,Steve Nyerere,Aunt Ezekiel,Lulu Michael,salama jabir,calvin Hart,Aki na ukwa,Jack chan,harry potter,Messi,Most of Chinese people.
Ila diamond platnum alikuwa mfupi kwa adebayor sina picha bahati mbaya.
Stop Heightism.