wachuga hawana mambo hayochalii wa R-chuga huyo 😀😀😀😀😀😀😀
[emoji3] [emoji3]Tena sana aisee
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanyiramba bhana...
Eti eehwachuga hawana mambo hayo
Ila wametuletea bosi wa akina aroo!Wanyiramba bhana...
[emoji3] [emoji3]Nimeamini kuna njaa.
Ndo wanavaaga ivyocongoman🙄🙄
Hahaha kweli Kuna njaaYuko wapi tumkabe huyu tuchukue vipuli ivyo
Kumbe Kuna diamond hewa aseeThe really diamond. Sio hawa wengine hewa
Aishah mbona wacheka?[emoji3] [emoji3]
Wengine njaa ipo.. Wengine haipoAishah mbona wacheka?