heheeh

msaki jr

Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
12
Reaction score
0
hapo zamani moyo na ndevu walikuwa marafiki wakubwa, ikatokea cku moja ugomvi mkubwa baina yao, Moyo akampa kichapo ndevu na kukimbia; lahaulaaaa moyo akamkuta binadam anapiga mihayo akazama mdomoni mwa binadam na kujificha,
hadithi itaendelea moyo akitoka nje!
 
Halafu ndevu alipotaka kumfuata moyo, alikuta binadamu kafunga mdomo,hivyo ndevu akaamua kumsubiri moyo katika kidevu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…