Hehe skills and technical college

Hehe skills and technical college

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
647
HEHE SKILLS AND TECHNICAL COLLEGE inatangaza kozi zifuatazo kwa mwaka wa masomo 2010/2011
- kugema ulanzi, miezi 6
-kusokota kamba ya kujinyongea, miezi 3
-kuchagua mbwa anaefaa kuliwa na mapishi yake .miezi 9
-kuongeza hasira miezi 12
-atakaejiunga mapema atapewa ofa ya kozi ya upishi wa mkunungu pamoja na uoshaji wa mbeta.
WAHUSIKA MNAKARIBISHWA
 
Nguli uko wapi siku hizi ndugu yangu?
Hii kitu tulisha ijadili hapa jamvini.
Usiwe unapotea sana rafiki yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom