Heh, huyu naye vipi tena?

huyu ndio beki unakaba hadi mapumbu
 
hujacheza cha ndimu au ndondo ww

ndimu na ndondo sijui ni michezo gani, pengine majina tofauti maana kombilela (komborela) huku kwetu zanzibar twaita kobole au kifichoficho
 
ndimu na ndondo sijui ni michezo gani, pengine majina tofauti maana kombilela (komborela) huku kwetu zanzibar twaita kobole au kifichoficho

kweli hujacheza cha ndimu
hiyo michezo yenu ya kujificha ficha ukipotea na katoto ka kike mpaka wanaghairi kuwatafuta
 
🙈🙈ameigusa yenyewe au ? lol asije mtia mwenzie ulemavu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…