Ally Ngowo
Member
- Feb 24, 2015
- 86
- 19
UROJO UNAROJOA AISEEDu, napenda sana maisha ya wazenji, no stress,angalia jinsi walivyo tulia hapo, hapo ni saa nne asubuhi, baba katulia kesharudi toka baharini kuvua samaki, wamama washemaliza pika vitumbua na chapati, kwa muda huo wachaviuza vyakaribia isha. Ahaaa Zanzibar raha bwana, jioni haoo foradhani kula urojo.