Heee! sipend anavyochat,nifanyaje aache?


Ina maana meseji 497 zote zinakwenda wapi?????

Ngastuka machale kundesaa!!!
 
Na mimi kuna rafiki yangu anatatizo kam hilo.
Yeye ana kiburudisho chake ambacho amekipa simu pamoja na kukigharamikia airtime,
Tatizo hicho kiburudisho hakimpigii jamaa simu na ikitokea kamepiga ujue kinaomba airtime, au anashida ya pesa. Yaani jamaa yangu ndiye anajukumu la kukitafuta hicho kiburudisho mara nyingi.
 

pacha mwanaume si ndugu yako atiii!!
anakugeuka sekunde,sasa kama ulipenda hundred percent
lazima uugue kichaa!!

hata na sisi wanawake ni hivyohivyo pacha kunawanawake pasua kichwa balaa, ila mi wangu nampenda asilimia zote ukiwa mwepesi wa kusamehe, kusahau aukupotezea uchuro wa mapenzi katu huto chizika pacha.....!
Sijawahi kuumia katika mapenzi pacha na ninaomba kwa nguvu zote isitokee.
 
Hapo umeliwa mjomba. Cz itakuwa anachat na wanaume wengne 2 maana mwanamke kwa mwanamke hawawez kuchat kwa muda mrefu.
 
Umeshindwa nini kumwambia kuwa hupendi na hufurahishwi?
 
Nipe namba yake ya simu ni chat nae nmpe makavu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

pacha mwanaume si ndugu yako atiii!!
anakugeuka sekunde,sasa kama ulipenda hundred percent
lazima uugue kichaa!!
Umenena ukweli kabisa mwanaume sio ndugu yako anakugeukia muda wowote utafikiri hamjawahi kufanya mazuri katika maisha, hujawahi kumshauri vizuri katika maisha wala kuwafanyia mazuri ndugu zake. Yaani atakubadilikia utafikiri huna mchango katika maisha yenu / yake.Ni watu wa kuishi nao kwa akili sio wa kuwaamini asilimia mia
 

Ndiyo maana tumedumu muda mrefu my dear.....(mbiooo.......)
 
Agreed 100%
 
Hata wanawake sio ndugu zetu...lazima tuishi nao kwa umakini dadeeeki!!
 

Mkeep bize. Wakati mwigine mtu huamua kuchati kwa kuwa yuko bored kwa muda mrefu, inawezekana mmekaa pamoja lakini mko kama masanamu tu hamuongei mambo yanayowagusa na kuwafurahisha au hamfanyi chochote kwa pamoja basi mmoja huamua kuanza kuchati na mwingine hubaki amevuta domo maana hapendi mwenzie achati. Jaribu kuwa mbinifu kwa kumbadilishia muda wa kuchati
 
we ongea naye tu, na inawezekana unapata sms chache labda huwa hujibu kwa wakati au muda mwng uko busy na shughuli zingne hasa pale anapohitaji kuchat nawe. ongea naye hope mtaelewana tu
 
Maskini MMU sasa jukwaa limegeuka kuwa watoto show!! ngoja nisepe zangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…