kalukamise
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 683
- 191
Si ujasiri ni ujinga kabisa huo, wengi huko elimu ni ndogo sana, imgawa kuna wengine walifunga maduka kwa kuhofia kufanyiwa visa au sababu za kisiasa(kuwania uongozi),jambo la gesi jinsi lilivyokuwa halieleweki kwa wana mtwara ndivyo akili zao zilivyo mpaka wanaadhimisha kwa kufunga huduma hii leo, ni upumbavu huo. Najua mtanipinga lakini ukweli utabaki palepale kuwa hawataendelea kwa mtindo kama huo, ukifanya utafiti utagundua katika kila maduka kumi wenye elimu ya fom 4 2(ukiacha elimu ya dini) same applies to bodaboda people pale mtwara,nilitumia usafiri huo na kufanya udadisi. mimi nilikuwepo kule mtwara baada tu ya vurugu, nilikuwa nikisikiliza hoja zao zilikuwa hazina mashiko kabisa zaidi ya kuwa wengi walifuata mkumbo na wengine kuchochewa na wanasiasa na udhaifu wa serikali ya sisiemu katika kutoa taarifa za msingi zihusuzu mpango wa gesi, otherwise nalaani kwa nguvu zote ujinga huo,kwa nini umoja huo usiwe wa kuchangia ujenzi wa chuo kikuu, sekondari,zahanatin.k? let us be serious jamani na si kusifia ujinga
Ngoja mama na dada yako wananilihiwe ndipo utuletee huu uchambuzi wako wa ki..j..inga. Usicheze na feelings za watu bana..