we unaumia na nini? kama maduka tumefunga sisi,mishumaa tumewasha sisi, shida yako we haswa in ipi!? unaleta masuala ya elimu kana kwamba ukiwa na elimu ndio husikii uchungu wa kufiwa! pole ndugu kma umekwazika ila kwa taarifa yako tutawakumbuka kila mwaka watu watoto zetu na mama zetu waliouwawa na kubakwa kinyama name ipo siku kilio chetu Mungu atakisikia
hiyo si ajali kama ya mv bukoba, nyie mlichochewa na mkachocheka na hivyo kutengeneza mazingira ya ubakaji nyie wenyewe, sasa unategemea nini kwa nchi yenye askari wenye akili kama za .........? si ubakaji na mauaji tu? badilikeni bwana,msikalie misimamo ya kijingajinga. ubinafsi tamaa viliwaponza mkabaki kusingizia eti mikoa yenu iliachwa nyuma umefika kigoma wewee? sema nyie mna asili ya ubishi wa kijinga, kwa hiyo mijitu ilivyoona gesi ikaanzisha mada za kuwavuruga ili ifaidike kisiasa, nanyi pasi kutafakari mkaingia mkenge.