Heee! Mtwara bado wana machungu?

Heee! Mtwara bado wana machungu?

mwanaapolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
256
Reaction score
79
Kuna msemo usemao "mla ndizi husau, mla ganda ...."
Nilisahau kuhusu "the gas saga" ila wana mtwara wamenikumbusha baada ya leo kufunga biashara zao na usafiri wa uma kuwa enzi waliopoteza uhai, kupigwa pamoja na mali zilizopotea.

Sasa Mama Salma Kikwete anaweza furukuta kama watanzania hawa bado wana vidonda vibichi???
 
Nimemkubali sana Kamanda Z. Steven aliposema kuwa sio kazi ya polisi kufuatilia kama watu wamefungua biashara zao ama hawajafungua
 
Nimependa sana msimamo wa Wana Mtwara. Hii nashauri na Arusha wafanye hibyo kuwakumbuka wahanga wote walio sitishiwa maisha na maccm.
 
Nadhani hii ni salamu tosha kwa CCM na serikali yake. Kwamba ijiandae kusulubiwa uchaguzi ujao, hasa na wanaMtwara. Nadhani itakuwa somo la ni nini huwa kinatokea pale unapopuuza wananchi.
 
Tanzania si mahala salama tena ccm ikiwa madarakani,bora mkoloni kabisa.
 
Na sina hakika kama imewahi kufanyika mahali pengine zaidi ya Mtwara hii leo. Heko Wana Mtwara.
 
Vita umakondeni inaisha unapokufa/anapokufa tu. utampiga leo itapita miaka/miezi/siku ila ukikutana naye siku/mwezi/mwaka wowote ule ngoma ngondoigwa! hapo kisu, upanga, mshale , bisibisi twende kazi. ccm wanalo kwa wamakonde!
 
Message sent. ...Wakiendelea kupuuza shauri yao.....
 
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa leo Mtwara stend na soko kuu, hakuna biashara iliyokuwa inaendelea.
 
Attachments

  • 1400788235923.jpg
    1400788235923.jpg
    54.9 KB · Views: 512
  • 1400788315510.jpg
    1400788315510.jpg
    70.5 KB · Views: 441
  • 1400788373651.jpg
    1400788373651.jpg
    68.3 KB · Views: 426
  • 1400788516621.jpg
    1400788516621.jpg
    69.3 KB · Views: 385
  • 1400788579733.jpg
    1400788579733.jpg
    97.3 KB · Views: 419
Nijambo laa maana sana, tena iwe kwa kila mwaka tarehe na mwezi kama wa leo. Nawashauri na wamasasi pia wafanye hivyo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Zingine hizi
 
Attachments

  • 1400788923889.jpg
    1400788923889.jpg
    104 KB · Views: 322
  • 1400788970832.jpg
    1400788970832.jpg
    92.1 KB · Views: 289
  • 1400789030698.jpg
    1400789030698.jpg
    61.3 KB · Views: 274
  • 1400789075497.jpg
    1400789075497.jpg
    104.2 KB · Views: 279
Hongera sana wanamtwara. Laiti watanzania wote tungekuwa na ujasiri kama mlionao.
 
Hongera sana wanamtwara. Laiti watanzania wote tungekuwa na ujasiri kama mlionao.

Si ujasiri ni ujinga kabisa huo, wengi huko elimu ni ndogo sana, imgawa kuna wengine walifunga maduka kwa kuhofia kufanyiwa visa au sababu za kisiasa(kuwania uongozi),jambo la gesi jinsi lilivyokuwa halieleweki kwa wana mtwara ndivyo akili zao zilivyo mpaka wanaadhimisha kwa kufunga huduma hii leo, ni upumbavu huo. Najua mtanipinga lakini ukweli utabaki palepale kuwa hawataendelea kwa mtindo kama huo, ukifanya utafiti utagundua katika kila maduka kumi wenye elimu ya fom 4 2(ukiacha elimu ya dini) same applies to bodaboda people pale mtwara,nilitumia usafiri huo na kufanya udadisi. mimi nilikuwepo kule mtwara baada tu ya vurugu, nilikuwa nikisikiliza hoja zao zilikuwa hazina mashiko kabisa zaidi ya kuwa wengi walifuata mkumbo na wengine kuchochewa na wanasiasa na udhaifu wa serikali ya sisiemu katika kutoa taarifa za msingi zihusuzu mpango wa gesi, otherwise nalaani kwa nguvu zote ujinga huo,kwa nini umoja huo usiwe wa kuchangia ujenzi wa chuo kikuu, sekondari,zahanatin.k? let us be serious jamani na si kusifia ujinga
 
Kuna msemo usemao "mla ndizi husau, mla ganda ...."
Nilisahau kuhusu "the gas saga" ila wana mtwara wamenikumbusha baada ya leo kufunga biashara zao na usafiri wa uma kuwa enzi waliopoteza uhai, kupigwa pamoja na mali zilizopotea.

Sasa Mama Salma Kikwete anaweza furukuta kama watanzania hawa bado wana vidonda vibichi???

Hiyo ni fursa pekee kwa wana UKAWA,CCM kwa heri Mtwara, kidogo kidogo miji mihimu yote inaondokana na magamba
 
Si ujasiri ni ujinga kabisa huo, wengi huko elimu ni ndogo sana, imgawa kuna wengine walifunga maduka kwa kuhofia kufanyiwa visa au sababu za kisiasa(kuwania uongozi),jambo la gesi jinsi lilivyokuwa halieleweki kwa wana mtwara ndivyo akili zao zilivyo mpaka wanaadhimisha kwa kufunga huduma hii leo, ni upumbavu huo. Najua mtanipinga lakini ukweli utabaki palepale kuwa hawataendelea kwa mtindo kama huo, ukifanya utafiti utagundua katika kila maduka kumi wenye elimu ya fom 4 2(ukiacha elimu ya dini) same applies to bodaboda people pale mtwara,nilitumia usafiri huo na kufanya udadisi. mimi nilikuwepo kule mtwara baada tu ya vurugu, nilikuwa nikisikiliza hoja zao zilikuwa hazina mashiko kabisa zaidi ya kuwa wengi walifuata mkumbo na wengine kuchochewa na wanasiasa na udhaifu wa serikali ya sisiemu katika kutoa taarifa za msingi zihusuzu mpango wa gesi, otherwise nalaani kwa nguvu zote ujinga huo,kwa nini umoja huo usiwe wa kuchangia ujenzi wa chuo kikuu, sekondari,zahanatin.k? let us be serious jamani na si kusifia ujinga

we unaumia na nini? kama maduka tumefunga sisi,mishumaa tumewasha sisi, shida yako we haswa in ipi!? unaleta masuala ya elimu kana kwamba ukiwa na elimu ndio husikii uchungu wa kufiwa! pole ndugu kma umekwazika ila kwa taarifa yako tutawakumbuka kila mwaka watu watoto zetu na mama zetu waliouwawa na kubakwa kinyama name ipo siku kilio chetu Mungu atakisikia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom