Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,814
- 831,027
Nilipata kufanya kazi kwenye kitengo chenye akina mama wengi, ilikuwa ni kawaida mno kwenye tarehe fulani za mwezi baadhi ya kina mama na dada kuwa na hasira hata kwa kitu kidogo sana, nikaja kumuuliza mmoja ambaye nilikuwa nimemzoea, akaniambia inakuwa hivyo lakini hajui ni kwanini!, nimejaribu kufuatilia mara kwa mara kuna ukweli fulani na hii husababishwa na ile hali ya kuvaa pedi na kuvuja mara mara! Ukimuona mwanamke ana hasira za haraka mchunguze kwa makini