Hivi hujui kuna ''Long Term Planning?'' hivi vyuo vyetu sikuhizi havifundishi strategic Management? kwahiyo ulitaka wakamilishe ujenzi November 2019? wenzetu ulaya wanafanya miradi itakayokamilika 2100 kama kupeleka binadamu Jupitor.MbungeJohn Hecheamesema umeme wa Stiegler's Gorge utawaka mwaka 2027, kwani kukamilisha mradi huo zinahitajika TZS 7.1tril, na inahitajika miaka 10 kukamilika. Ameliambia Bunge Kampuni ya Arab Contractors hajawahi kujenga bwawa kokote duniani, hivyo inaajiri makampuni mengine.