Heche,prof safari wawasihi wanadar-es-salaam kubadilika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heche,prof safari wawasihi wanadar-es-salaam kubadilika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by USTAADHI, Feb 4, 2012.

 1. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Katika eneo la keko leo katika wilaya ya Temeke, chadema kanda maalumu ya Dar es salaam wamefanikiwa kuendelea na kampeni ya ondoa ccm Dar mkutano uliokuwa umesheheni vijana mbali mbali waliojitambulisha kwa vyeo na majina pia hata kuhutubia huku wahutubiaji wakiwa bwn john heche,mwkt wa bavicha taifa,pia ndg henry kileo katibu wa mkoa kinondoni pia prof safari wakili mahiri na mjumbe wa kamati kuu katika mkutano huu Ujumbe umejikita katika kuwabadilisha watu wa Dar es salaam kuwa chachu ya mabadiliko km majiji mengine walivyofanya ikiwemo Nairobi,bulawayo,kinshasha na kwingineko kwani ndiyo walio karibu na vyombo vya habari na mitandao' katika mkutano huo pia kadi zaidi ya 175 za chama zimeuzwa
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wapigeni nondo za uhakika hao watu wa Dar,sisi Mwanza kazi ilishaisha ndiyo maana hata watu hawana habari na besidei ya magamba,mpaka imebidi wawalazimishe wafanya biashara waliopanga kwenye vibanda vya uwanja wa Kirumba kuvipakaa rangi za kijani kwa gharama zao na wengi wamegoma na kuamua kufunga biashara zao mpaka sherehe hizo zipite.
   
 3. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hongera cdm kazi iendelee mapaka kieleweke
   
 4. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Aluta continua wanacdm kwan hata si vijana wa kusoma 2po nyuma kwenye hizi harakati.
   
 5. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mijana mchana mida ya saa tisa hivi nimekuta gari ya chadema ikiwa na bendera na vipaza sauti juu pale kariakoo barabara ya uhuru kadi na calender zilikuwa zikigawiwa pale kama kawa kweli chadema inawabunifu yaani wameamua kuwafuata watu waliko hukohuko makazini kwao kweli viongozi wa Chadema ni majembe,Hongera Mnyika na Dr Slaa kwa program hiyo.
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hao kina safari na mwenzake ni njaa tu zinawasubua,hawana lolote.Safari si alikimbia CUF baada ya kuukosa uenyekiti ngoja na hapo ataujaribu akiukosa anakimbilia TLP kwa Mtaalam
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kalenda kwako ndio ubunifu?
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Je ubwabwa,TOT,Orijino Komedi,Kuchinja ng'ombe 50 na kuwa leta Makhilikhili CCM Kirumba ndiyo ubunifu kwako?
   
 9. Helper

  Helper JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 915
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Well done CHADEMA
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mungu yuko nanyi wakombozi
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  una ubongo wa kuku!
   
 12. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mambo yanaendeshwa kisayansi,hakuna kukurupuka kwa kuwapakia kwenye malori kutoka vijijini,vijana ndo chachu ya mabadiliko ya kweli kokote kule duniani.big up sana Mh. Heche hiyo ndo kazi ya vijana
   
 13. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu minaona wewe umeshiba viazi sijaongelea kalenda tu pia ugawaji kadi ulikuwa unaendelea pale kwa wanachama wageni mkuu na ndio kitu cha msingi hiki ndio chama cha msimu mkuu.
   
 14. M

  Makupa JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kisipoeleweka itakuaje
   
 15. M

  Makupa JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  oh , poor cdm
   
 16. P

  People JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Itakuwa kama unavyofikiri...najua masaburi yanakutuma vibaya.
   
 17. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  nenda kwenye hoja acha kujadili mtu huuu ni upupu wa magamba au ndo unagoma hata kukubali ukweli? kwani safari alikosea kuja CHADEMA?
   
 18. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kwanini uataje majiji menmgine ya Afrika kama Nairobi, Bulawayo Kinshasa?

  Majiji ya humu humu Tanzania tayari yalishaanza tangia 2010, kama vile Mwanza, Mbeya
  Arusha, Moshi etc. Mkakati for 2015 ni kuwafukuza kabisa CCM mijini. DSM msituangushe
  please.
   
 19. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dar inabidi tufanye kazi ya ziada, watu wanadanganyika sana na furana na 5000. Jiji linatakiwa kuwa mfano ila sisi tunawaangusha majiji mengine kama mbeya, arusha na mwanza

  Tunahitaji kuamka sasa wakati umefika wa kuwaonyesha CCM kuwa watanzania wanaweza kama wanataka madaraka wapeleke mafisadi wote gerezani
   
Loading...