Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,465
- 27,541
Sana mkuu huyu jamaa akipewa wizard yoyote ataipaisha sanaTungepata viongozi kama Hawa wakatuongoza angalau miaka 5 Tz ingekua ulaya!Sema ndio vile akili ndogo inatuongoza.
Kuna ushauri ukipewa na ukiutafakari unaona kabisa unamanufaa hata bila kushirikisha chawa wengine wewe tu ukikaa na halmashauri ya ubongo wako unapata kituYeye aingie kwa madaraka achimbe hicho chuma aache ngonjera zake za kumsema uncle 😎
Mkuu hatari sana mimi huwa naumizwa na makontena ya mchanga wa dhahabu aseeNafsi inaniuma na kuihurumia nchi yangu kila napoona makundi ya malori ya Special Haulier yakipita na makaa ya mawe lilambo yakitokea liganga kila siku.
Najiulizaga maswaliengi nakosa majibu.
SahihiJamaa ana akili sana kuliko wanaccm wote.
Ni sahihi lakini hiyo miradi bado isingekamilika ingejengwa miaka kumi ijayo.Kuna ushauri ukipewa na ukiutafakari unaona kabisa unamanufaa hata bila kushirikisha chawa wengine wewe tu ukikaa na halmashauri ya ubongo wako unapata kitu
Watu kama Hawa nchi hii hawataki!#UPDATES "Wakati bwawa la mwalimu Nyerere linajengwa nikaishauri serikali chini ya Rais Magufuli, unataka kujenga bwawa unataka kujenga SGR unahitaji chuma, sisi tuna chuma pale Liganga, Ludewa tuna chuma cha kuchimba miaka 100 tuna mlima wa chuma tutatumia hiko chuma hata miaka 100, Mungu akaweka na makaa ya mawe ya kuyeyushia hiko chuma pale pale Liganga, mchanga wa kusafishia hiko chuma akaweka pale Iringa hakuna kitu tunaagiza kutoka nje"
"Nikamwambia Rais kabla hatujaanza kujenga bwawa letu la Mwalimu Nyerere tujenge kwanza kiwanda chetu kile kiwanda ambacho kilikuwa kinahitaji Dola za kimarekani Bilioni 3 ambazo ni Trilioni 7.8 halafu tuchimbe miaka 100, halafu ukishajenga hiko kiwanda kingeajiri vijana elfu 60 halafu unamuita mkandarasi ajenge bwawa la Mwalimu Nyerere unampa hela lakini unamwambia chuma utanunua hapa kwahiyo unampa hela kwa mkono huu halafu unachukua kwa mkono mwingine."
"Hawakunisikiliza wakanipuuza leo tunaagiza chuma kutoka nje, mwaka jana pekee yake tumeagiza chuma chenye thamani ya dola Bilioni 1.2 sawa na Tsh. Trilioni 3 kwa mwaka, huo ni mwaka mmoja, mwaka juizi hivo hivo kwa miaka 3 tumeagiza chuma cha Trilioni 10 ambacho tungejenga kiwanda chetu cha Trilioni 7.8 tungechimba miaka 100"
John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wananchi wa Serengeti.
View attachment 3333349
Huyu jamaa ni hadhina kubwa sana kwa Taifa huwa namuelewa sana.
#EastAfricaTV
Kwa akili hizi tusitegemee ccm kufanya makubwa!Yeye aingie kwa madaraka achimbe hicho chuma aache ngonjera zake za kumsema uncle 😎
No offence ukiweka mbali siasa jamaa ana data and hi is good aisee. Why system haichukui watu kama hawa ina kumbatia chawa?#UPDATES "Wakati bwawa la mwalimu Nyerere linajengwa nikaishauri serikali chini ya Rais Magufuli, unataka kujenga bwawa unataka kujenga SGR unahitaji chuma, sisi tuna chuma pale Liganga, Ludewa tuna chuma cha kuchimba miaka 100 tuna mlima wa chuma tutatumia hiko chuma hata miaka 100, Mungu akaweka na makaa ya mawe ya kuyeyushia hiko chuma pale pale Liganga, mchanga wa kusafishia hiko chuma akaweka pale Iringa hakuna kitu tunaagiza kutoka nje"
"Nikamwambia Rais kabla hatujaanza kujenga bwawa letu la Mwalimu Nyerere tujenge kwanza kiwanda chetu kile kiwanda ambacho kilikuwa kinahitaji Dola za kimarekani Bilioni 3 ambazo ni Trilioni 7.8 halafu tuchimbe miaka 100, halafu ukishajenga hiko kiwanda kingeajiri vijana elfu 60 halafu unamuita mkandarasi ajenge bwawa la Mwalimu Nyerere unampa hela lakini unamwambia chuma utanunua hapa kwahiyo unampa hela kwa mkono huu halafu unachukua kwa mkono mwingine."
"Hawakunisikiliza wakanipuuza leo tunaagiza chuma kutoka nje, mwaka jana pekee yake tumeagiza chuma chenye thamani ya dola Bilioni 1.2 sawa na Tsh. Trilioni 3 kwa mwaka, huo ni mwaka mmoja, mwaka juizi hivo hivo kwa miaka 3 tumeagiza chuma cha Trilioni 10 ambacho tungejenga kiwanda chetu cha Trilioni 7.8 tungechimba miaka 100"
John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wananchi wa Serengeti.
View attachment 3333349
Huyu jamaa ni hadhina kubwa sana kwa Taifa huwa namuelewa sana.
#EastAfricaTV
Thana mkuu.Huyu jamaa ni hadhina kubwa sana kwa Taifa huwa namuelewa sana.
#EastAfricaTV
Hata Ile bara bara ya songea njombe makambako wameshindwa hata kuitanua tu na yanapita magari ya makaa na chuma daily!Utafikiri ccm wao hawapiti kwenye hiyo njia,njia ni nyembamba full mashimo mwanzo mwisho!!!Nafsi inaniuma na kuihurumia nchi yangu kila napoona makundi ya malori ya Special Haulier yakipita na makaa ya mawe lilambo yakitokea liganga kila siku.
Najiulizaga maswali mengi nakosa majibu.
Naam haijalishi ile miradi ingekamilka lini ila kikubwa ushauri huu ungefuata leo si ingekuwa inaenda kukamilika sas?Ni sahihi lakini hiyo miradi bado isingekamilika ingejengwa miaka kumi ijayo.
Yote kwa yote ushauri wake ni mzuri sana.
Sasa huo uzalendo uko wapi kama ushauri huu wenye tijankwa taifa aliukataa???Heche achana na Mzalendo JPM, unatukwaza