PreGE2025 HECHE: Nilimshauri Magufuli lakini hakunisikiliza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
11,359
Reaction score
24,474
"Wakati bwawa la mwalimu Nyerere linajengwa nikaishauri serikali chini ya Rais Magufuli, unataka kujenga bwawa unataka kujenga SGR unahitaji chuma, sisi tuna chuma pale Liganga, Ludewa tuna chuma cha kuchimba miaka 100 tuna mlima wa chuma tutatumia hiko chuma hata miaka 100, Mungu akaweka na makaa ya mawe ya kuyeyushia hiko chuma pale pale Liganga, mchanga wa kusafishia hiko chuma akaweka pale Iringa hakuna kitu tunaagiza kutoka nje"

"Nikamwambia Rais kabla hatujaanza kujenga bwawa letu la Mwalimu Nyerere tujenge kwanza kiwanda chetu kile kiwanda ambacho kilikuwa kinahitaji Dola za kimarekani Bilioni 3 ambazo ni Trilioni 7.8 halafu tuchimbe miaka 100, halafu ukishajenga hiko kiwanda kingeajiri vijana elfu 60 halafu unamuita mkandarasi ajenge bwawa la Mwalimu Nyerere unampa hela lakini unamwambia chuma utanunua hapa kwahiyo unampa hela kwa mkono huu halafu unachukua kwa mkono mwingine."

"Hawakunisikiliza wakanipuuza leo tunaagiza chuma kutoka nje, mwaka jana pekee yake tumeagiza chuma chenye thamani ya dola Bilioni 1.2 sawa na Tsh. Trilioni 3 kwa mwaka, huo ni mwaka mmoja, mwaka juizi hivo hivo kwa miaka 3 tumeagiza chuma cha Trilioni 10 ambacho tungejenga kiwanda chetu cha Trilioni 7.8 tungechimba miaka 100"

John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wananchi wa Serengeti.

FB_IMG_1747209814174.jpg
Huyu jamaa ni hazina kubwa sana kwa Taifa huwa namuelewa sana.

#EastAfricaTV
 
Nafsi inaniuma na kuihurumia nchi yangu kila napoona makundi ya malori ya Special Haulier yakipita na makaa ya mawe lilambo yakitokea liganga kila siku.

Najiulizaga maswaliengi nakosa majibu.
Mkuu hatari sana mimi huwa naumizwa na makontena ya mchanga wa dhahabu asee
 
Na hili Bwawa limekwisha kwanini Umeme haushuki ? Badala kujikita kwenye yaliyopita ambayo si ndwele vipi tuchimbane hapa hapa sasa hivi kwa upuuzi unaotokea leo, au tunangoja kusema tulimshauri Samia..

#UPDATES "Wakati bwawa la mwalimu Nyerere linajengwa nikaishauri serikali chini ya Rais Magufuli, unataka kujenga bwawa unataka kujenga SGR unahitaji chuma, sisi tuna chuma pale Liganga, Ludewa tuna chuma cha kuchimba miaka 100 tuna mlima wa chuma tutatumia hiko chuma hata miaka 100, Mungu akaweka na makaa ya mawe ya kuyeyushia hiko chuma pale pale Liganga, mchanga wa kusafishia hiko chuma akaweka pale Iringa hakuna kitu tunaagiza kutoka nje"

"Nikamwambia Rais kabla hatujaanza kujenga bwawa letu la Mwalimu Nyerere tujenge kwanza kiwanda chetu kile kiwanda ambacho kilikuwa kinahitaji Dola za kimarekani Bilioni 3 ambazo ni Trilioni 7.8 halafu tuchimbe miaka 100, halafu ukishajenga hiko kiwanda kingeajiri vijana elfu 60 halafu unamuita mkandarasi ajenge bwawa la Mwalimu Nyerere unampa hela lakini unamwambia chuma utanunua hapa kwahiyo unampa hela kwa mkono huu halafu unachukua kwa mkono mwingine."

"Hawakunisikiliza wakanipuuza leo tunaagiza chuma kutoka nje, mwaka jana pekee yake tumeagiza chuma chenye thamani ya dola Bilioni 1.2 sawa na Tsh. Trilioni 3 kwa mwaka, huo ni mwaka mmoja, mwaka juizi hivo hivo kwa miaka 3 tumeagiza chuma cha Trilioni 10 ambacho tungejenga kiwanda chetu cha Trilioni 7.8 tungechimba miaka 100"

John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wananchi wa Serengeti.
View attachment 3333349
Huyu jamaa ni hadhina kubwa sana kwa Taifa huwa namuelewa sana.
#EastAfricaTV
Watu kama Hawa nchi hii hawataki!
 
No offence ukiweka mbali siasa jamaa ana data and hi is good aisee. Why system haichukui watu kama hawa ina kumbatia chawa?
 
Nafsi inaniuma na kuihurumia nchi yangu kila napoona makundi ya malori ya Special Haulier yakipita na makaa ya mawe lilambo yakitokea liganga kila siku.

Najiulizaga maswali mengi nakosa majibu.
Hata Ile bara bara ya songea njombe makambako wameshindwa hata kuitanua tu na yanapita magari ya makaa na chuma daily!Utafikiri ccm wao hawapiti kwenye hiyo njia,njia ni nyembamba full mashimo mwanzo mwisho!!!
 
Back
Top Bottom