GE2025 Heche: Mabadiliko yakipatikana tutampelekea fomu Lissu gerezani na atatoka akiwa rais (video)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
671
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kama mabadiliko wanayoyadai yatapatikana kabla ya uchaguzi na endapo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atakuwa bado anashikiliwa rumnande, watampelekea fomu ya kugombea uraia na atashinda akiwa gerezani.

Ameyasema hayo Julai 11, alipokuwa akizungumza na makada wa chama hicho mjini Musoma Mkoa wa Mara

.

Wala hilo halina shaka. Lakini Ccm hawawezi kutoa mwanya wa mabadiliko labda waporwe na nguvu ya umma .
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kama mabadiliko wanayoyadai yatapatikana kabla ya uchaguzi na endapo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atakuwa bado anashikiliwa rumnande, watampelekea fomu ya kugombea uraia na atashinda akiwa gerezani.

Ameyasema hayo Julai 11, alipokuwa akizungumza na makada wa chama hicho mjini Musoma Mkoa wa Mara

Aha ha ha maCCM huko yamekatwa na tumbo la kuhara
 
Write your reply...kumbe yote haya ni sababu ya kugombea uongozi.basi lissu anyongwe haraka
 
..Ndio anazidi kuwatisha na kuwachochea wasimtoe.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kama mabadiliko wanayoyadai yatapatikana kabla ya uchaguzi na endapo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atakuwa bado anashikiliwa rumnande, watampelekea fomu ya kugombea uraia na atashinda akiwa gerezani.

Ameyasema hayo Julai 11, alipokuwa akizungumza na makada wa chama hicho mjini Musoma Mkoa wa Mara

Huyo bwege bangi imemzidia, apunguze hizo bangi za Tarime. Ndio maana watu wote wenye akili wamekihama hilo li chama
 
Back
Top Bottom