Heche azomewa na wapiga kura wake jukwaani

Mbunge wa Tarime vijijini Johni heche amezomewa akiwa anahutubia wananchi huko nyamongo wilayani Tarime,..amezomewa na wananchi katika mkutano wa Hadhara uliofanyika viwanja vya Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara. Hii ni salam na alama ya kukataliwa kutokana na utendaji usioridhisha Wa Mbunge huyo kijana.
Wewe ni taahira fulani vile unaleta uongo wako hapa kama ule wa Polepole.Weka video ya tukio kuthibitisha hilo na siyo blabla zako hapa.
 
Mbunge wa Tarime vijijini Johni heche amezomewa akiwa anahutubia wananchi huko nyamongo wilayani Tarime,..amezomewa na wananchi katika mkutano wa Hadhara uliofanyika viwanja vya Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara. Hii ni salam na alama ya kukataliwa kutokana na utendaji usioridhisha Wa Mbunge huyo kijana.
Mikutano wanaifanya CCM tu, CDM hata ukionekana unasikiliza mziki wako na umevalia sale cha chama,police hawawezi kukuacha salama kawadanganye pale Lumumba
 
Mbunge wa Tarime vijijini Johni heche amezomewa akiwa anahutubia wananchi huko nyamongo wilayani Tarime,..amezomewa na wananchi katika mkutano wa Hadhara uliofanyika viwanja vya Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara. Hii ni salam na alama ya kukataliwa kutokana na utendaji usioridhisha Wa Mbunge huyo kijana.
Mura kumbe wewe ndo unatumia hii I.D? thaya ngora mura weitho
 
Nyie mnaomwambia jamaa aweke clip pamoja na mleta mada wote nawaona wale wale. Kwahiyo akileta clip na ikaonesha kweli anazomewa ndiyo kusema hapendwi tarime? Kwani unadhani wana Tarime wote ni CDM? Unadhani tarime hakuna wana ccm wanaoweza kumzomea Heche? Unadhani wana ccm hawawezi kutoa watu Rorya au Bunda kwenda kumzomea Hche? Lakini kwenye uchaguzi uliopita kwani Heche hakuzomewa na wana CCM sasa kama alizomewa mbona alishinda?. Kwenye siasa kuzomewa inaweza kuwa agenda ya wapinzani wako, mimi azomewe asizomewe ndiye mbunge wao.
 
Mbunge wa Tarime vijijini Johni heche amezomewa akiwa anahutubia wananchi huko nyamongo wilayani Tarime,..amezomewa na wananchi katika mkutano wa Hadhara uliofanyika viwanja vya Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara. Hii ni salam na alama ya kukataliwa kutokana na utendaji usioridhisha Wa Mbunge huyo kijana.
KWA HECHE SIYO RAHISI
 
Walizomea na kueleza sababu au wewe umetunga sababu?
 
WAMTAFUTIE KAZI NYINGINE YA KUFANYA....(wamtumbue)
 
Mbunge wa Tarime vijijini Johni heche amezomewa akiwa anahutubia wananchi huko nyamongo wilayani Tarime, amezomewa na wananchi katika mkutano wa Hadhara uliofanyika viwanja vya Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara.

Hii ni salam na alama ya kukataliwa kutokana na utendaji usioridhisha Wa Mbunge huyo kijana.
Bila picha na video hapa utakuwa unapiga porojo tu kama kawaida yenu vijana wa baba wa kambo
 
Watu wengine ni wazuri kwa drama. Ni mpuuzi gani anayeweza kuamini huo upuuzi. Mimi mwenyewe nilikuwa possible but nothing of the sort happened. Hii ni sawa na bund uji yenye bender a kuelekezwa. Motive ni nini? Tunarudi kwenye yale tuliyoaminishwa hapo awali kwamba watu walikuwa na ushahidi wa kumpelekea Mungu kwamba cdm ni magaidi. What happened? Hapahapa duniani mahakama za dunia zilikataa. It's only the first class fools who can be so easily fooled
 
Nimewawekea video clip jinsi CHADEMA walivyokomaa kwa uzushi

Hana clip katunga

Ujinga ni mzigo, mkutano wa waziri mkuu, makada wa ccm wanasimamama na kunwambia mda mda mda ndio zomea zomea walivyojiandaa ccm kuifanya

Siasa za uongo uongo kama hizi ndo zinafanya ccm muonekane Wa ovyo kuliko zamani.

Haahaahaahaa CCM bana kweli aliewaroga ashakufa
 
Mbona makamanda wanapishana tena? Wengine wanasema hakuzomewa! Wengine wanasema alizomewa lakini ulikuwa mkutano wa waziri mkuu, so mkutano wake! Wengine wanasema hakuzomewa Bali makada wa ccm walikuwa wakipiga kelele na kusema muda muda muda. Hebu makamanda tupeni ukweli tuachane na huyu Lumumba aliyelea huu Uzi, kipi hasa kilitokea?
 
Back
Top Bottom