Heche azomewa na wapiga kura wake jukwaani

Mbunge wa Tarime vijijini Johni heche amezomewa akiwa anahutubia wananchi huko nyamongo wilayani Tarime, amezomewa na wananchi katika mkutano wa Hadhara uliofanyika viwanja vya Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara.

Hii ni salam na alama ya kukataliwa kutokana na utendaji usioridhisha Wa Mbunge huyo kijana.
Lumumba crew................kazomewa wapi hapo?

IPO clip subirini
Umbea tu

Kwa taarifa yako baba Bashite isingekuwa ukizomea unakamatwa, unateswa na pengine kupotea basi mamilion wangekuwa wanamzomea

........ Pengine hata hii meseji naweza jikuta kwenye sandarusi Coco Beach......
 
Mbunge wa Tarime vijijini Johni heche amezomewa akiwa anahutubia wananchi huko nyamongo wilayani Tarime, amezomewa na wananchi katika mkutano wa Hadhara uliofanyika viwanja vya Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara.

Hii ni salam na alama ya kukataliwa kutokana na utendaji usioridhisha Wa Mbunge huyo kijana.
Hii ni ishara mbaya sana kuelekea 2020.
 
Mbunge wa Tarime vijijini Johni heche amezomewa akiwa anahutubia wananchi huko nyamongo wilayani Tarime, amezomewa na wananchi katika mkutano wa Hadhara uliofanyika viwanja vya Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara.

Hii ni salam na alama ya kukataliwa kutokana na utendaji usioridhisha Wa Mbunge huyo kijana.
NONSENSE!!!!!
 
Majungu lmited
 
Umbeyya wa LUMUMBA mpaka taarime
Weka picha kama ulikuwepo mkutanoni
 
Watu walimzomea mwenyekiti hadi wakaimba wana imani na mtu fulan mbele yake, sembuse heche...
 
Back
Top Bottom