Heche atafuta umaarufu msibani

Status
Not open for further replies.
Hawa ni wajasiriamali wa kisiasa tu, hawana lolote
 
hahaa kumbe hukuwa mtu neutral kama ulivyojinasibu kwenye story awali! ni miongoni mwa wala rambi rambi too local sterm and visionless halafu huyu dogo heche anawasumbua sana magamba mpaka msaada mnapata kwa mamluki eeh
 
Nyumba ya babu yako hiyo! asante sana kwa kutujuza

Chama
Gongo la mboto DSM

Usiukimbie ukweli hiyo ni Nyumba ya Marehemu Horace Kolimba aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM (1990-1994) na inadaiwa alifariki katika mazingira tata sana 1997 ndani ya CC yenu. Kama wengine mnawatunza vipi huyu?

Source:
KAPINGAZ Blog WIKI HII ILITEMBELEA MAENEO YA KIJIJI CHA MANDA WILAYANI LUDEWA PEMBEZONI MWA ZIWA NYASA. | KAPINGAZ

FYI: Babu yangu pamoja na kuwa CCM ni mtu maskini sana na hawezi kumiliki nyumba kama hiyo!
 
mleta maada ni miongoni mwa wanafiki na wachumia tumbo mzuri inaonekana aisee kwa watu wa aina hii ukombozi wa nchi mpaka nguvu ya ziada iongezeke
 

Waitara ndiyo maarufu kuliko Heche na ndiyo chaguo la Tarime.
 
Tatizo la Heche anapenda sana kutumia misiba kama mtaji wa kisiasa.

Sasa hivi anazunguka Ulaya na CD ya kifo cha Mwangosi kwa ajili ya kukusanya pesa.

Cha kusikitisha familia ya Mwangosi hawapati chochote.

Ninyi watu wa ajabu sana. Wasipo hudhuria mnasema sio wazalendo,(Ref kuanguka kwa Ghorofa) wakihudhuria, wanataka umaarufu wa kisiasa! Dah! Eti Mr/Miss Ritz jamaa hawa tuwahamishie sayari ya Jupiter wapunguze kutugasi ati!
 
Last edited by a moderator:
CCM haina utaratibu wa kuwaruhusu viongozi wake kuteka pesa za Chama na kujijengea mahekalu utaratibu huo upo Chadema. Babu yako anamshukuru sana Mungu kwa kuwepo kwa CCM; sera ya makazi bora kwa watanzania ni moja ya sera kuu za CCM

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…