Heche atafuta umaarufu msibani

Heche atafuta umaarufu msibani

Status
Not open for further replies.

kurya

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
510
Reaction score
84
Baada ya kutokea mauwaji ya mtoto Deus Jacobo,aliyepigwa risasi na askari polisi katka mtaa wa Songambere kata ya Sababa Tarime Mjini siku ya Alhamis tarehe 9.May.2013 majira ya saa nane mchana hatmaye siku ya mazishi ikawadia kama kawaida.

Ikawa ni siku ya Jumamosi majira ya saa sita mchana mh.Heche akafka maeneo hayo akiambatana na wapambe wake kutoka kata moja inayomuunga mkono ikiamini kuwa lazma awe mbunge 2015,mara ratiba ikaanza kusomwa na kuzingatiwa na m.c chini ya uratibu wa wanafamilia ya marehemu,alianza kupewa nafasi mchungaji ili kutoa neno mahala hapo,akafuatiwa na mwenyekiti wa mtaa aliyewashukuru wananchi pamoja na kusikitishwa kwa kuchafuliwa ya kwamba amehongwa na jeshi la polisi ili mwili uzikwe. Aliwaasa wananchi waachane na majungu kwani yeye wanamjua utendaji wake na sio hulka yake kupewa rushwa,aliyefuata alikuwa msemaji wa jeshi la polisi ambaye ni kamanda wa mkoa wa kipolisi Tarime/Rolya, yeye alisisitiza kuwa hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhuska wa mauwaji hayo,na kuwaomba wananchi watulie wawe wavumilvu na wamwamini,aliyefuata alikuwa ni DC alitoa salamu za serikali na rambirambi kwa wafiwa na kulaani kitendo hicho kwa niaba ya serikali.

Ikawa sasa ni nafasi ya diwani wa kata hiyo yeye pamoja na kusifia kazi za kamanda wa polisi kwa jitihada zake kuwarekebisha tabia mapolisi wasio waadirifu pia alitaka hatua zichukuliwe haraka na kusiwe na usiri kwa kumfikisha mtuhumiwa huyo mahakaman sheria ichukue mkondo wake,mwisho ukawadia wakati wa kuaga mwili wa marehemu huku mh.Heche asijue nini la kufanya baada ya kukosa fulsa ya kutumia msiba huo kama jukwaa la kisiasa,huku wapambe wake wakionekana kukerwa na kitendo cha kumnyima nafasi boss wao huyo walianza konong'ona kwanini asipewe nafasi hii ni hujuma tu,baada ya zoezi hilo kuisha nlipata fulsa ya kumhoji mwenykiti wa mtaa ambaye anatokana na chadema niilimwuliza kwanini hakumpatia Heche nafasi kama kiongozi wake wa kitaifa ili aseme machache katika msiba huo?

Mh.Nyanswi akionekana mwenye kujiamini alijibu kuwa kwanza yeye hajahusika na kuandaa ratiba hiyo kwani kulikuwa na kamati maalumu ilyokuwa ikiratibu zoezi hilo na pili yeye hana mda wa kumzungumzia kiongoz asiyetambua majukumu yake kikatiba, kwani pia hakutambua uwepo wa kiongozi huyo mahara hapo kwa sababu hajashirikishwa kichama na mwisho alisema tabia ya kutumia msiba kama jukwaa la kisiasa kwake yeye halina maana kwani kuna mahara rasmi pa kutumia na sio msibani tu.

Baadhi ya watu wanasema huu ni mnyukano wa makundi makuu mawili hasimu kati ya Heche na Mh.waitara hivyo kuna kila dalili kuwa kama kati ya hao wawili mmoja atateuliwa kuwa mgombea ubunge 2015 basi ni wazi jimbo litabaki CCM kwani hakuna kundi litakarounga lingine ili lishinde japo kwa mh.Heche ni dalili mbaya kwani analaumiwa na kundi kubwa la vijana kuwa alihujumu jimbo mwaka 2010 hivyo na yeye akiteuliwa lazma na yeye ale jeuri yake,inabidi CHADEMA makao makuu wachukue tahadhari mapema ili kuhakikisha mahasimu hao wakubwa wanamaliza mgogoro huo vinginevyo ni vigumu sana kurejesha jimbo hilo.
 
Majungu mwanzo mwisho... kwa stahili hii, Wanatarime mtaendelea kuuliwa kama mbwa kisha police wanajitolea kuzika kama kawaida yao... Dhahabu nyamongo inaondoka nyie kalieni kuvuta hizo nyasi tu bila kuwa na mkakati wa pamoja...
 
"Kinana" weka mbali na tembo....ccm ni wazee wakung'oa wananchi kucha na meno.ndugu wananchi tuiogope ccm ni janga la taifa.ccm no majangili ya tembo yakiongozwa na muhamiaji haramu mwenye uraia fake kinana
 
Waitara na heche wakae wajipange vinginevyo jimbo hawalipati kwa stye ya sasa.
 
"Kinana" weka mbali na tembo....ccm ni wazee wakung'oa wananchi kucha na meno.ndugu wananchi tuiogope ccm ni janga la taifa.ccm no majangili ya tembo yakiongozwa na muhamiaji haramu mwenye uraia fake kinana
 
Hapa hakuna jipya Chadema na misiba ni jambo la kawaida; wao ni watu wa kuteka hisia za watu; kwa Mwangosi walikuwepo kule na picha nyingi tu tukawekewa Tanzania Daima; leo hakuna anayeuliza mjane na watoto wa Mwangosi wamekula nini
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kazi ipo wanasihasa bwana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tatizo la Heche anapenda sana kutumia misiba kama mtaji wa kisiasa.

Sasa hivi anazunguka Ulaya na CD ya kifo cha Mwangosi kwa ajili ya kukusanya pesa.

Cha kusikitisha familia ya Mwangosi hawapati chochote.
 
Heche kwanza ni mkurupukaji asiyejitambua hata kidogo.
 
Majungu mwanzo mwisho... kwa stahili hii, Wanatarime mtaendelea kuuliwa kama mbwa kisha police wanajitolea kuzika kama kawaida yao... Dhahabu nyamongo inaondoka nyie kalieni kuvuta hizo nyasi tu bila kuwa na mkakati wa pamoja...

Pole kwa kufeli maana hata matokeo kurudiwa kupangwa upya bado umefeli zaidi, ugonjwa wenu wa kuwaza 2015 utawatesa sana.
 
Baada ya kutokea mauwaji ya mtoto Deus Jacobo,aliyepigwa risasi na askari polis katka mtaa wa songambere kata ya sababa tarime mjini sku ya alihamis tarehe 9.may.2013 majira ya saa nane mchana hatmaye sku ya mazishi ikawadia kama kawaida.

Ikawa ni sku ya jumamosi majira ya saa sita mchana mh.Heche akafka maeneo hayo akiambatana na wapambe wake kutoka kata moja inayomuunga mkono ikiamini kuwa lazma awe mbunge 2015,mara ratiba ikaanza kusomwa na kuzingatiwa na m.c chini ya uratibu wa wanafamilya ya marehemu,alianza kupewa nafasi mchungaji ili kutoa neno mahala hapo,akafuatiwa na mwenyekit wa mtaa aliyewashukuru wananchi pamoja na kuskitishwa kwa kuchafuliwa ya kwamba amehongwa na jeshi la polis ili mwili uzikwe, aliwaasa wananchi waachane na majungu kwani yeye wanamjua utendaji wake na sio hulka yake kupewa rushwa,aliyefuata alikuwa msemaji wa jeshi la polis ambaye ni kamanda wa mkoa wa kipolis tarime/rolya yeye alisisitiza kuwa hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhuska wa mauwaji hayo,na kuwaomba wananchi waturie wawe wavumilvu na wamwamini,aliyefuata alikuwa ni DC alitoa salamu za serikali na rambirambi kwa wafiwa na kulaani kitendo hicho kwa niaba ya serikali.

Ikawa sasa ni nafas ya diwani wa kata hiyo yeye pamoja na kusifia kazi za kamanda wa polis kwa jitihada zake kuwalekebisha tabia mapolis wasio waadirifu pia alitaka hatua zichukuliwe haraka na kusiwe na usili kwa kumfkisha mtuhumiwa huyo mahakaman sheria ichukue mkondo wake,mwisho ukawadia wakati wa kuaga mwili wa marehemu huku mh.

Heche asijue nini la kufanya baada ya kukosa fulsa ya kutumia msiba huo kama jukwaa la kisiasa,huku wapambe wake wakionekana kukelwa na kitendo cha kumnyima nafasi boss wao huyo walianza konong'ona kwanini aspewe nafas hii ni hujuma tu,baada ya zoezi hilo kuisha nlipata fulsa ya kumhoji mwenykiti wa mtaa ambaye anatokana na chadema niilimwuliza kwanini hakumpatia Heche nafasi kama kiongozi wake wa kitaifa ili aseme machache katika msiba huo?

Mh.nyanswi akionekana mwenye kujiamini alijibu kuwa kwanza yeye hajahuska na kuandaa ratiba hiyo kwani kulikuwa na kamati maalumu ilyokuwa ikiratibu zoezi hilo na pili yeye hana mda wa kumzungumzia kiongoz asiyetambua majukumu yake kikatiba, kwani pia hakutambua uwepo wa kiongozi huyo mahara hapo kwa sababu hajashirikishwa kichama na mwisho alisema tabia ya kutumia msiba kama jukwaa la kisiasa kwake yeye halina maana kwani kuna mahara rasmi pa kutumia na sio msibani tu.

Baadhi ya watu wanasema huu ni mnyukano wa makundi makuu mawili hasimu kati ya Heche na Mh.waitara hivyo kuna kila dalili kuwa kama kati ya hao wawili mmoja atateuliwa kuwa mgombea ubunge 2015 basi ni wazi jimbo litabaki ccm kwani hakuna kundi litakarounga lingine ili lishinde japo kwa mh.heche ni darili mbaya kwani analaumiwa na kundi kubwa la vijana kuwa alihujumu jimbo mwaka 2010 hivyo na yeye akiteuliwa lazma na yeye ale jeuri yake,inabidi chadema makao makuu wachukue tahadhari mapema ili kuhakikisha mahasimu hao wakubwa wanamaliza mgogoro huo vinginevyo ni vigumu sana kurejesha jimbo hilo.

Heche anatafuta umaarufu gani Tarime? Heche ni maarufu tarime tangia 2005 wakati akishiriki kampeini za marehemu CHACHA WANGWE akiwa mstari wa mbele, lakini pia nikukumbushe kwamba mwaka 2008 Heche alishinda udiwani wa kata ya Tarime mjini wakati huo ikiwa kata mmoja kabla hawajazigawa kuwa kata tatu lakini pia nikukumbushe kwamba Heche alimshinda tajiri mwenye mali nyingi kanda ya ziwa PETER ZAKARIA,na cha tatu wakati huo alikua mwanafunzi,
nikuulize hoja nyingine je watu wote walioshiriki msiba huo nao walikwenda kutafuta umaarufu?
je watu wote waliozungumza pale msibani nao ni maarufu kwasasa? kama kuzungumza tu pale msibani kunampa mtu umarufu tutajie wote waliozungumza wamekua maarufu kiasi gani hapo Tarime.
mbona tuna taarifa za uhakika kwamba huyo mwenyekiti wa kitongoji amehongwa pesa sh million 2.5 ili awashawishi wazazi wakubali kuzika? acheni ----- nyie magamba
 
Majungu mwanzo mwisho... kwa stahili hii, Wanatarime mtaendelea kuuliwa kama mbwa kisha police wanajitolea kuzika kama kawaida yao... Dhahabu nyamongo inaondoka nyie kalieni kuvuta hizo nyasi tu bila kuwa na mkakati wa pamoja...
kilichoonekana kwa watu walioshiriki msiba ni kweli kuwa HECHE ALIKUWA NA WANANCHI WAMEJIPANGA KUGOMESHA MAZISHI HUKU RPC ,MKUU WA WILAYA NA MWKT WA MTAA CHADEMA NDUGU KHAMIS WAKIWA UPANDE WA MUUAJI TUSIUME UME ULIMI RUSHWA NI ADUI WA HAKI HII SASA NI KUFA KUFAANA MTOTO WA MIAKA 9 AMEMSABABISHA MWKT KHAMIS KUWA KARIBU NA MKUU WA WILAYA RASMI NA HATA INASADIKIWA MKOPO ALIOKUWA ANDAIWA BANK NMB SASA SIO SHIDA
 
Baada ya kutokea mauwaji ya mtoto Deus Jacobo,aliyepigwa risasi na askari polis katka mtaa wa songambere kata ya sababa tarime mjini sku ya alihamis tarehe 9.may.2013 majira ya saa nane mchana hatmaye sku ya mazishi ikawadia kama kawaida.

Ikawa ni sku ya jumamosi majira ya saa sita mchana mh.Heche akafka maeneo hayo akiambatana na wapambe wake kutoka kata moja inayomuunga mkono ikiamini kuwa lazma awe mbunge 2015,mara ratiba ikaanza kusomwa na kuzingatiwa na m.c chini ya uratibu wa wanafamilya ya marehemu,alianza kupewa nafasi mchungaji ili kutoa neno mahala hapo,akafuatiwa na mwenyekit wa mtaa aliyewashukuru wananchi pamoja na kuskitishwa kwa kuchafuliwa ya kwamba amehongwa na jeshi la polis ili mwili uzikwe, aliwaasa wananchi waachane na majungu kwani yeye wanamjua utendaji wake na sio hulka yake kupewa rushwa,aliyefuata alikuwa msemaji wa jeshi la polis ambaye ni kamanda wa mkoa wa kipolis tarime/rolya yeye alisisitiza kuwa hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhuska wa mauwaji hayo,na kuwaomba wananchi waturie wawe wavumilvu na wamwamini,aliyefuata alikuwa ni DC alitoa salamu za serikali na rambirambi kwa wafiwa na kulaani kitendo hicho kwa niaba ya serikali.

Ikawa sasa ni nafas ya diwani wa kata hiyo yeye pamoja na kusifia kazi za kamanda wa polis kwa jitihada zake kuwalekebisha tabia mapolis wasio waadirifu pia alitaka hatua zichukuliwe haraka na kusiwe na usili kwa kumfkisha mtuhumiwa huyo mahakaman sheria ichukue mkondo wake,mwisho ukawadia wakati wa kuaga mwili wa marehemu huku mh.

Heche asijue nini la kufanya baada ya kukosa fulsa ya kutumia msiba huo kama jukwaa la kisiasa,huku wapambe wake wakionekana kukelwa na kitendo cha kumnyima nafasi boss wao huyo walianza konong'ona kwanini aspewe nafas hii ni hujuma tu,baada ya zoezi hilo kuisha nlipata fulsa ya kumhoji mwenykiti wa mtaa ambaye anatokana na chadema niilimwuliza kwanini hakumpatia Heche nafasi kama kiongozi wake wa kitaifa ili aseme machache katika msiba huo?

Mh.nyanswi akionekana mwenye kujiamini alijibu kuwa kwanza yeye hajahuska na kuandaa ratiba hiyo kwani kulikuwa na kamati maalumu ilyokuwa ikiratibu zoezi hilo na pili yeye hana mda wa kumzungumzia kiongoz asiyetambua majukumu yake kikatiba, kwani pia hakutambua uwepo wa kiongozi huyo mahara hapo kwa sababu hajashirikishwa kichama na mwisho alisema tabia ya kutumia msiba kama jukwaa la kisiasa kwake yeye halina maana kwani kuna mahara rasmi pa kutumia na sio msibani tu.

Baadhi ya watu wanasema huu ni mnyukano wa makundi makuu mawili hasimu kati ya Heche na Mh.waitara hivyo kuna kila dalili kuwa kama kati ya hao wawili mmoja atateuliwa kuwa mgombea ubunge 2015 basi ni wazi jimbo litabaki ccm kwani hakuna kundi litakarounga lingine ili lishinde japo kwa mh.heche ni darili mbaya kwani analaumiwa na kundi kubwa la vijana kuwa alihujumu jimbo mwaka 2010 hivyo na yeye akiteuliwa lazma na yeye ale jeuri yake,inabidi chadema makao makuu wachukue tahadhari mapema ili kuhakikisha mahasimu hao wakubwa wanamaliza mgogoro huo vinginevyo ni vigumu sana kurejesha jimbo hilo.
KHAMIS NDUGU YETU angalia sana usiharibu UISLAM wako kwa tamaha za hapa na pale jina lako limechafuka sana kwa jambo hili usitumie nguvu kujilinda tubu kwa watu mapema nakuomba maana ni kweli yule mtoto kaangamizwa bila hatia ni kwa nini ulichagua upande wa wauaji na hata ukawasiliti wenzako waliokuwa na madai ya wazi? hapa umaarufu si hoja hoja ni mauaji ya mtoto asiyekuwa na hatia
 
huyu jamaa hajielewi anayeitwa heche hajielewi kabisa..,hivi hakuna kumbukumbu inayothibitisha kuwa aliwahi kupita milembe...?
 
Rushwa badi ni tatizo kubwa sana kwa watu vichwa maji kama baadhi ya watanzania, ni mara ngapi ndugu wa marehemu wana hongwa ili wawe upande wa wahalifu, vita ya rushwa bado ni kubwa, kama mzee wa kaya anaweza kuhongwa suti tano sembuse mkuu wa kijiji,
 
Vipi kuhusu watoto wa Lwakatare wamekula nini; sisiemu wanaweza wakajiuliza swali kama hilo kweli????????? so long as Ugaid wa kamanda Lwakatare wanahusika? Mwangosi walimuua akina Lukovu!!
 
content za habari hazifanani na kichwa cha habari, mbona mi sioni mahali heche alipotafuta umaarufu? sana sana aliyeandika ndiye anayefikiria heche alitaka umaarufu au kashindwa kuandika kile alichotaka watu waamini
 
Baada ya kutokea mauwaji ya mtoto Deus Jacobo,aliyepigwa risasi na askari polisi katka mtaa wa Songambere kata ya Sababa Tarime Mjini siku ya Alhamis tarehe 9.May.2013 majira ya saa nane mchana hatmaye siku ya mazishi ikawadia kama kawaida.

Ikawa ni siku ya Jumamosi majira ya saa sita mchana mh.Heche akafka maeneo hayo akiambatana na wapambe wake kutoka kata moja inayomuunga mkono ikiamini kuwa lazma awe mbunge 2015,mara ratiba ikaanza kusomwa na kuzingatiwa na m.c chini ya uratibu wa wanafamilia ya marehemu,alianza kupewa nafasi mchungaji ili kutoa neno mahala hapo,akafuatiwa na mwenyekiti wa mtaa aliyewashukuru wananchi pamoja na kusikitishwa kwa kuchafuliwa ya kwamba amehongwa na jeshi la polisi ili mwili uzikwe. Aliwaasa wananchi waachane na majungu kwani yeye wanamjua utendaji wake na sio hulka yake kupewa rushwa,aliyefuata alikuwa msemaji wa jeshi la polisi ambaye ni kamanda wa mkoa wa kipolisi Tarime/Rolya, yeye alisisitiza kuwa hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhuska wa mauwaji hayo,na kuwaomba wananchi watulie wawe wavumilvu na wamwamini,aliyefuata alikuwa ni DC alitoa salamu za serikali na rambirambi kwa wafiwa na kulaani kitendo hicho kwa niaba ya serikali.

Ikawa sasa ni nafasi ya diwani wa kata hiyo yeye pamoja na kusifia kazi za kamanda wa polisi kwa jitihada zake kuwarekebisha tabia mapolisi wasio waadirifu pia alitaka hatua zichukuliwe haraka na kusiwe na usiri kwa kumfikisha mtuhumiwa huyo mahakaman sheria ichukue mkondo wake,mwisho ukawadia wakati wa kuaga mwili wa marehemu huku mh.Heche asijue nini la kufanya baada ya kukosa fulsa ya kutumia msiba huo kama jukwaa la kisiasa,huku wapambe wake wakionekana kukerwa na kitendo cha kumnyima nafasi boss wao huyo walianza konong'ona kwanini asipewe nafasi hii ni hujuma tu,baada ya zoezi hilo kuisha nlipata fulsa ya kumhoji mwenykiti wa mtaa ambaye anatokana na chadema niilimwuliza kwanini hakumpatia Heche nafasi kama kiongozi wake wa kitaifa ili aseme machache katika msiba huo?

Mh.Nyanswi akionekana mwenye kujiamini alijibu kuwa kwanza yeye hajahusika na kuandaa ratiba hiyo kwani kulikuwa na kamati maalumu ilyokuwa ikiratibu zoezi hilo na pili yeye hana mda wa kumzungumzia kiongoz asiyetambua majukumu yake kikatiba, kwani pia hakutambua uwepo wa kiongozi huyo mahara hapo kwa sababu hajashirikishwa kichama na mwisho alisema tabia ya kutumia msiba kama jukwaa la kisiasa kwake yeye halina maana kwani kuna mahara rasmi pa kutumia na sio msibani tu.

Baadhi ya watu wanasema huu ni mnyukano wa makundi makuu mawili hasimu kati ya Heche na Mh.waitara hivyo kuna kila dalili kuwa kama kati ya hao wawili mmoja atateuliwa kuwa mgombea ubunge 2015 basi ni wazi jimbo litabaki CCM kwani hakuna kundi litakarounga lingine ili lishinde japo kwa mh.Heche ni dalili mbaya kwani analaumiwa na kundi kubwa la vijana kuwa alihujumu jimbo mwaka 2010 hivyo na yeye akiteuliwa lazma na yeye ale jeuri yake,inabidi CHADEMA makao makuu wachukue tahadhari mapema ili kuhakikisha mahasimu hao wakubwa wanamaliza mgogoro huo vinginevyo ni vigumu sana kurejesha jimbo hilo.

hivi maana ya mheshimiwa nini?? hivi ukisha kuwa na cheo kwenye chama na wewe ni mheshimiwa naomba kufahamishwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom