Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,762
- 27,497
Umeenda shuleni?na kwanini hukwenda shule?moto anampelekea mama yenu pamoja na nyie wajinga wajinga
Umeenda shuleni?na kwanini hukwenda shule?moto anampelekea mama yenu pamoja na nyie wajinga wajinga
kwamba unatuletea taarifa za AI overview, wewe ni lishenzi huna akili peleka huo upumbavu kwa wajinga wenzio, Heche anaongelea reports za nchi wewe unaleta taarifa za AI tena za visitors wakati Heche anazungumzia tourists nyie nguruwe wa lumumba siku nchi ikikombolewa mkimbie nchi.JITU ONGO SANA HILI, ETI RWANDA 3 MIL VISITORS,NA TANZANIA 1.5MILS,
UONGO MTAKATIFU WA AJABU SANA,THAT MAN IS SO STUPID HE DONT HAVE EVEN A REAL DATA...
NGURUWE NDIYO ZINAIAMINI HII KENGE!
View attachment 3651682View attachment 3651684
View: https://www.youtube.com/live/dBta4NXZCm4?is=GaPZMNUlvYMhaq2O
=============
"Kesi ya Tundu Lissu ya uongo, imetengenezwa. Kila mtu anajua. Ni kesi ya kisiasa ukisikiliza mashahidi na wenyewe walioifungua kila kitu. Inaonyesha kabisa ya uongo. Hii kesi ndio kesi pekee ambayo ipo katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kesi kubwa.
"Uhaini ni mtu ambaye anataka au kumuua Rais, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais, Spika au Jaji Mkuu au mtu anataka kupindua nchi. Hii ni kesi kubwa.
"Hii ni kesi ambayo imefunguliwa na Jamhuri ambayo ni sisi wote against Tundu Lissu. Na kama kesi ina ushahidi hii ni kesi ambayo inatakiwa ishighulikiwe haraka iishe.
"Lakini angalia Lissu amekaa kuanzia Mwezi wa Pili hadi Mwezi wa nane ndio ameitwa mahakamani. Miezi Sita yupo ndani. Inakwambia ni kesi ambayo ya uongo"- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA).
=================
Kama hawapelekei moto, mbona mnatapatapa? Tulie ili dawa iwaingie vizuri.Labda anakupelekea wewe hiyo takataka!...
Huwezi kusogea hapa pamotoWho to listen #Rubbish!
Nenda kashindane naye live yupo sasa ivi clouds, usibwekee kwenye keyboardHeche ana upeo mdogo, hawezi kukiwasha kwa hoja
Kila mradi unafeli wamemwaga hela juzi kuunda vikundi eti vinamlalamikia anakula hela mara oooh hecheee, hecheee ajiudhuru. Vimekufilia hukoooo.Kama hawapelekei moto, mbona mnatapatapa? Tulie ili dawa iwaingie vizuri.
Hana uwezo huoNenda kashindane naye live yupo sasa ivi clouds, usibwekee kwenye keyboard
Huwezi mkuta kobazi kapiga goti mbele ya sanamu la zege ya dangote akaliombamakobazi huwa mapumbavu, yanafikiri kila mtu anaakili kama za kwake
sasa si uende sasa mbona unaumiza vidole kutype hapo?Hana uwezo huo
Una umri gani,shule ulipitapita!?sasa si uende sasa mbona unaumiza vidole kutype hapo?
Unamaanisha nini?Mdogo mdogo mara zile mic, shwaa jamaa hayupo.
Zinasogezwa taratibu. Ilianza ITV leo Mawingu