Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na wananchi wa Magumu - Serengeti leo Mei 13 kuhusu suala la Msajili wa vyama vya siasa kutotambua uwepo wa cheo cha John Mnyika katibu Mkuu wa chama hicho.
Pia, Soma: Ofisi ya Msajili yatengua uteuzi wa wajumbe 8 wa sekretarieti na kamati kuu ya CHADEMA walioteuliwa na Tundu Lissu
"Msajili wa Vyama hamesema hamtambua Katibu Mkuu wa Chama chetu, hatambui Wajumbe wa Kamati Kuu wa Chama chetu, mimi nakuambia Msajili, wewe huitaji kumtambua Katibu Mkuu wa Chama chetu sisi CHADEMA tutamtambua Katibu Mkuu wa Chama chetu."