Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,756
- 2,646
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameitembelea familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Iringa, Frank Nyalusi aliyefariki Septemba 19, 2025 katika Hospitali ya rufaa ya Iringa alipokuwa akipatiwa matibabu.
Soma: Frank Nyalus afariki dunia
Heche ambaye hakuhudhiria mazishi hayo, amefika Iringa kutembelea familia ya Marehemu Frank Nyalusi na kuweka shada la maua kwenye kaburi lake, katika Mtaa wa Mtatifikolo, Kata ya Mwangata.