Hebu ziacheni nyumba zenu zipumue

Hebu ziacheni nyumba zenu zipumue

Yani usivyovihitaji ndo unampelekea mwingine???
Mkuu kuna vitu vingi sana kwako unaweza usiwe unavitumia ila kwa mwenzako akipata vitamsaidia mno...Mfano kuna nguo zako mingi zingine ulizivaa mara 1 ama 2 na zikakubana unadhani busara ni kufanyaje? Na hata mitumba inakuja kwetu Africa kama nguo za msaada ila kuna wajanja wanakaa katikati na kugeuza fursa ya biashara..
 
Nimekusoma mkuu
 
duh ! kweri kn ulikuja kwangu nina mikokoro mingi sana inekaa zaidi ya miaka 3 araf havina maana yoyote nitafanya maamuzi magumu
viatu sasa ninapea km 15 zamani sivivai tena ttzo ndugu zngu wana miguu mikubwa haziwatoshi zimelundikana tuu dah sijui nifanyajeee
 
katoe msaada sio mpaka ndugu ingawa nami linanigusa kwenye nguo hahahahahhaha ila sio vizuri kweli
 
duh ! kweri kn ulikuja kwangu nina mikokoro mingi sana inekaa zaidi ya miaka 3 araf havina maana yoyote nitafanya maamuzi magumu
viatu sasa ninapea km 15 zamani sivivai tena ttzo ndugu zngu wana miguu mikubwa haziwatoshi zimelundikana tuu dah sijui nifanyajeee
Gawa...vigawie kwa wenye uhitaji mitumba ya ulaya ni vitu wasivyovihitaji tena wamiliki wao...huku tunauziana
 
Kitumie kwa muda kisha waachie wengine kama ulaya wafanyavyo
1455019133763.jpg
1455019139788.jpg
1455019168088.jpg
1455019185378.jpg
 
Wabongo wengi tunafikiri kuna ndugu zetu watakuja kuvaaa kwa sababu ya mawazo mgando ya kubana matumizi...huu ni upuuzi kuna umuhimu wa kutafuta pesa ili hao ndugu zetu tuje kuwanunulia vitu vya fashion yao sio kumlazimisha mtu atumie old fashion kisa eti ulinunua unakwepa gharama huo ni ubinafsi....unachoona kwako kimechoka kuna mtu anakihitaji....tena kwa dar es salaam wahitaji ni wengi sana....nakumbuka kuna jamaa mmoja wa taka uwa akipita kama kuna nguo au kiatu na mengneo ambayo siyatumii uwa nampa anafurahi sana hadi anatamani awe anachukua taka kwangu bure ila ndo hvyo inabidi umlipe maana kila mtu anatafuta maisha hapa mjini.......tuacheni ubinafsi
 
Natamani kila mtu angeelewa uzi huu na kuufanyia kazi, asilimia kubwa ya magonjwa yetu pamoja na maugomvi yetu ndani yangepungua sana
 
Back
Top Bottom