Hizi route za dodoma zinakula sana helaNdugu zangu kuna maelfu ya watafuta ajira wenye vigezo ila wanashindwa kuhudhuria saili kwa kutomudu gharama zinazohitajika. Binafsi naamini ziko njia nyingi zisizougharimu upande wowote kati ya msaili na msailiwa na bado zinaweza kupunguza ukubwa wa tatizo.
Kwa mfano, kama imewezekana watu kupangiwa ajira kutokana na kanzi data inayotunza taarifa za walioshindwa kupata kazi kwa sababu ya uhaba wa nafasi husika ila walifaulu usaili wa kuongea, kwa nini na waliofika kiwango rasmi kilichowekwa kama cha kuanzia ufaulu (ufaulu wa 50 kwenda juu), kwenye usaili wa kuandika na wao wasiwe na vigezo vya kuitwa moja kwa moja kwenye saili nyingine za kuongea zinazofanana na nafasi waliyoomba kabla kama wamekidhi mahitaji ya ushindani?
Ni hivi msailiwa ameomba uhasibu taasisi A, hajafika Oral kwa sababu alama ya mwisho kuchukuliwa ni 80 na yeye ana 70, endapo ameomba uhasibu taasisi B yenye vigezo sawa na A, kwanini asiingizwe kwenye ushindani na wapya watakaofanya usaili taasisi B, na kama ufaulu unamruhusu aitwe moja kwa moja kwenye oral kuliko kuanza upya written?
Hii nenda rudi kwenye usaili tusiichukulie poa.
Tuanze kulijadili hili, na tutoe mengine yanayoepusha gharama zisizo za lazima au kupunguza zile za lazima.
Hizi route za dodoma zinakula sana hela
Ndo hivyo maana nauli ,hela ya kula na sehemu yakulala kwa siku kama tatu hivi sio mchezoAcha kabisa Mkuu, ni vile hakuna pakusemea watu wakasikika. Ila naamini wapo wengi wanaishia kuziangalia nafasi mpya huku hawana jinsi inabidi waziache kwa sababu ya kutokuwa na pesa za kujikimu.
Ila ukiangalia historia zao, unagundua kuna saili huko nyuma waliwahi kupasua, japo kwa uchache wa nafasi ikabidi waachwe.
Option mojawapo usaili uwe unafanyika kikanda au kimikoa itapunguza sana gharamaUko sahihi sana Mkuu. Watanzania tunasubiri mapendekezo yako, tufanye nini angalau kupunguza hizi gharama?
Daaah nime Kumbuka rout moja toka kijin kwetu ad shinyanga kufanya usairi....
Nauli ya kwenda nika kopa..... Kula nika unga unga.... Kulala gest siku ya kwanza tuka unga na jamaa tuka share room.
Siku ya jumamos tuka fanya usairi fresh majibu yalikuwa saa nane mchana.... Tuka shinda tuna kunywa maji huku tukianza kutafuta nauli kama tukipita tubaki ad juma tatu kwaajiri ya oral...
Saa nane hii hapaMungu alikuwa upande wetu tukapita sasa oral juma tatu...
Unga unga juma tatu ila fika piga usairi daah mazingira ya nje kujiandaa yalikuwa duni sana Huna uwakika wa kula unawaza kufaulu upate kazi
All in all Mungu mwema sana tuendeleee kupambana
Yani database siku zote kuna chenga ya mwili tunapigwa pale lakini wangefanya interview zifanyike kimikoa ingepunguza gharama sema na hii yakimikoa pia ina risk mnapofika kwenye oral unaweza kukuta panelist wa mkoa X wako fair kuliko panelist wa mkoa Y , hapo napo unakuwa shida ila kwa mfumo wa sasa upo fair sana wote mnakandwa sehemu moja kama kufokewa na panelist mnafokewa pamojaShida ni moja tu kwa mawazo hayo Kuna watu watakua wanapachikwa kwenda oral kwa kisingizio cha walifaulu interview iliyopita wakakosa nafasi kifupi saili na formula ya Sasa inavyoendeshwa ipo fair kwa asilimia kama 80 hizo ishrini zilizopaki ni zinapotea linapokuja swala la database kwa namna yeyote najua Kuna watu wanaitwa kazini na wasema walikua database ila kiuhalisia ni kupachikana tu ndugu na Wenye connection so unavyosema watu wakifaulu wawe wanawekwa database kwa ajiri ya interview nyingine waingie oral moja kwa moja mie nauhakika Kuna siku utaenda fanya interview written hatachaguliwa hata mmoja mtaambiwa Kuna watu walifaulu kwa Makisi za juu Zaid yenu wapo Sita so hao ndo wataenda oral nyie wengine mrudi home so kifupi nasema hivi USIAMINI DATABASE MKUUU
ila na support kwenye swala la gharama kwa kweli kwa jobless tunapigika sana kwenda dodoma
Ni kweli mkuu usaili upo fair Kiasi now(japo connection huenda zipo) shinda gharama tu mkuu labda usaili ukifanyika kikanda gharama zitapungua kidogoYani database siku zote kuna chenga ya mwili tunapigwa pale lakini wangefanya interview zifanyike kimikoa ingepunguza gharama sema na hii yakimikoa pia ina risk mnapofika kwenye oral unaweza kukuta panelist wa mkoa X wako fair kuliko panelist wa mkoa Y , hapo napo unakuwa shida ila kwa mfumo wa sasa upo fair sana wote mnakandwa sehemu moja kama kufokewa na panelist mnafokewa pamoja
Connection hazikosi lakini ukifanyika kikanda ndo connection itaongezeka mkuu Yani bora asaiviNi kweli mkuu usaili upo fair Kiasi now(japo connection huenda zipo) shinda gharama tu mkuu labda usaili ukifanyika kikanda gharama zitapungua kidogo
Kweli mie hata kikanda huwa sifagilii sana ndo maana huwa sichangii mada hiyo kukataa kuhofia wadau kunishambulia Bure so napiga kimya ila najua hapo watu watalia vibaya kama zoezi la sensa Kila mtu analalamika na mkoa wake hawapo fair ndo maana hata ukisoma comment yangu juu ni meweka Neno labda nikijua tu hapo hakuna kituConnection hazikosi lakini ukifanyika kikanda ndo connection itaongezeka mkuu Yani bora asaivi
Kabisa yani hizi interview zikianza kufanyika kikanda hatutatoboa aseehKweli mie hata kikanda huwa sifagilii sana ndo maana huwa sichangii mada hiyo kukataa kuhofia wadau kunishambulia Bure so napiga kimya ila najua hapo watu watalia vibaya kama zoezi la sensa Kila mtu analalamika na mkoa wake hawapo fair ndo maana hata ukisoma comment yangu juu ni meweka Neno labda nikijua tu hapo hakuna kitu
Bora zibaki hivi hivi tuWazo zuri.
Ila shortcoming yake kubwa ni watu kupachikwa
Hata sasa wanapachikwa kwenye database sanaWazo zuri.
Ila shortcoming yake kubwa ni watu kupachikwa
Hata mie natafakari hivi ile kanzidata watu wanauhakika gani kuwa wale candidate walifaulu adi kuekwa katika kanzidata na kupewa kazi? Hiyo kanzidata nani anaifanyia verification kuthibitisha?Shida ni moja tu kwa mawazo hayo Kuna watu watakua wanapachikwa kwenda oral kwa kisingizio cha walifaulu interview iliyopita wakakosa nafasi kifupi saili na formula ya Sasa inavyoendeshwa ipo fair kwa asilimia kama 80 hizo ishrini zilizopaki ni zinapotea linapokuja swala la database kwa namna yeyote najua Kuna watu wanaitwa kazini na wasema walikua database ila kiuhalisia ni kupachikana tu ndugu na Wenye connection so unavyosema watu wakifaulu wawe wanawekwa database kwa ajiri ya interview nyingine waingie oral moja kwa moja mie nauhakika Kuna siku utaenda fanya interview written hatachaguliwa hata mmoja mtaambiwa Kuna watu walifaulu kwa Makisi za juu Zaid yenu wapo Sita so hao ndo wataenda oral nyie wengine mrudi home so kifupi nasema hivi USIAMINI DATABASE MKUUU
ila na support kwenye swala la gharama kwa kweli kwa jobless tunapigika sana kwenda dodoma