Hebu tuwaze namna Utumishi wanaweza wakawapunguzia gharama za usaili wanaotafuta ajira

Bora zibaki hivi hivi tu
Kweli mkuu maana hapa tunaona namba za waliofanya.

Huko kwenye oral pia huwa wanaangalia matokeo/namba za written ili kuhakikisha kama ndio ni yeye aliyetusua kwenda oral?
 
Kwenye oral wanakuwa na majina kabisa yani wanakuaga na detail zako zote pale maana ukiingia tu wanaanza mr ......jobless welcome for the interview can you tell me a little bit through your education background
 
Hata mie natafakari hivi ile kanzidata watu wanauhakika gani kuwa wale candidate walifaulu adi kuekwa katika kanzidata na kupewa kazi? Hiyo kanzidata nani anaifanyia verification kuthibitisha?
Nani anacheki na kukagua taratibu za utumishi katika kuajiri? Maana malalamiko yamekua mengi kwa muda mrefu sasa.

Mie naona utaratibu ubaki kama ulivyo lakini kuwe na uhakiki na ukaguzi kuhakikisha utumishi wanafanya kazi kwa maadili na haki. Mfumo na kanzidata ukaguliwe kama idara nyingine zinavyokaguliwa na CAG. Tunaweza kuongeza majukumu ya CAG aingie na utumishi kukagua utaratibu mzima wa kuajiri kama unafanyika inavyotakiwa.

PSRS ni ofisi yenye matumizi ya pesa, yenye mifumo ya TEHAMA. Haya ni maeneo muhimu ambayo CAG huwa anakagua, Je PSRS huwa hawakaguliwi?
 
Kwenye oral wanakuwa na majina kabisa yani wanakuaga na detail zako zote pale maana ukiingia tu wanaanza mr ......jobless welcome for the interview can you tell me a little bit through your education background
Hahahahaaa.
Umenichekesha, eti Mr Fulani Jobless....

Sasa tukisema wanaofaulu written nao wawe wanatunzwa kanzidata, itakuwa kichomi. Mifumo itachezewa, tena Rushwa itashamiri watu watataka kuingia kwa magendo.

Kwa hiyo ibaki hivi hivi, kama umekandwa basi iishie hapo
 
😂😂😂😂eeeh wanaanza mr...jobless karibu for mkando of today yani unakua unajua hapa wanajua tu me jobless hahhhh
 
Ndugu zangu kuna maelfu ya watafuta ajira wenye vigezo ila wanashindwa kuhudhuria saili kwa kutomudu gharama zinazohitajika. Binafsi naamini ziko njia nyingi zinazoweza kupunguza sana ukubwa wa tatizo.

Kwa mfano, kama imewezekana watu kupangiwa ajira kutokana na kanzi data inayotunza taarifa za walioshindwa kupata kazi kwa sababu ya uhaba wa nafasi husika ila walifaulu usaili wa kuongea, kwa nini na waliofika kiwango rasmi kilichowekwa kama cha kuanzia ufaulu (ufaulu wa 50 kwenda juu), kwenye usaili wa kuandika na wao wasiwe na vigezo vya kuitwa moja kwa moja kwenye saili nyingine za kuongea zinazofanana na nafasi waliyoomba kabla kama wamekidhi mahitaji ya ushindani?

Ni hivi msailiwa ameomba uhasibu taasisi A, hajafika Oral kwa sababu alama ya mwisho kuchukuliwa ni 80 na yeye ana 70, endapo ameomba uhasibu taasisi B yenye vigezo sawa na A, kwanini asiingizwe kwenye ushindani na wapya watakaofanya usaili taasisi B, na kama ufaulu unamruhusu aitwe moja kwa moja kwenye oral kuliko kuanza upya written?

Hii nenda rudi kwenye usaili tusiichukulie poa.

Tuanze kulijadili hili, na tutoe mengine yanayoepusha gharama zisizo za lazima au kupunguza zile za lazima.
Kwanza wanapaswa kuwa na ofisi za kikanda hiyo itasaidia sana,nirahisi sana mtu kutoka Tabora/Shinyanga kufika Mwanza(kanda ya ziwa)
Mwanza,Mara na Geita-Kanda ya Ziwa
Tabora,Shinyanga na Simiyu-Ziwa magharibi
Dodoma na Singida-Kati
 
Njia pekee ni kutengeneza mfumo wa usaili ambao utafanyika online. Yaani kama ni maswali ya written exams unapewa muda wa kuyajibu, ukifanikiwa kupita written ndio uitwe kwenye oral.
Kwa internet ipi hapa Tanzania?

Kuhusu watu kufanyia hiyo pepa watazuiaje ili muhusika pekee aifanye?
 
Ndugu zangu kuna maelfu ya watafuta ajira wenye vigezo ila wanashindwa kuhudhuria saili kwa kutomudu gharama zinazohitajika. Binafsi naamini ziko njia nyingi zinazoweza kupunguza sana ukubwa wa tatizo.

Kwa mfano, kama imewezekana watu kupangiwa ajira kutokana na kanzi data inayotunza taarifa za walioshindwa kupata kazi kwa sababu ya uhaba wa nafasi husika ila walifaulu usaili wa kuongea, kwa nini na waliofika kiwango rasmi kilichowekwa kama cha kuanzia ufaulu (ufaulu wa 50 kwenda juu), kwenye usaili wa kuandika na wao wasiwe na vigezo vya kuitwa moja kwa moja kwenye saili nyingine za kuongea zinazofanana na nafasi waliyoomba kabla kama wamekidhi mahitaji ya ushindani?

Ni hivi msailiwa ameomba uhasibu taasisi A, hajafika Oral kwa sababu alama ya mwisho kuchukuliwa ni 80 na yeye ana 70, endapo ameomba uhasibu taasisi B yenye vigezo sawa na A, kwanini asiingizwe kwenye ushindani na wapya watakaofanya usaili taasisi B, na kama ufaulu unamruhusu aitwe moja kwa moja kwenye oral kuliko kuanza upya written?

Hii nenda rudi kwenye usaili tusiichukulie poa.

Tuanze kulijadili hili, na tutoe mengine yanayoepusha gharama zisizo za lazima au kupunguza zile za lazima.
usaili ufanyike kwa kanda kanda full stop
kNDA YA KATI
NYANDA ZA JUU KUSINI
KANDA YA ZIWA
PWANI
 
Mitihani itakuwa inavuja lenu na lengo litakuwa halijatimia
Mitihani ni tofauti. Au mtihani mmoja ila kanda zote interview ni muda mmoja. Saa 2 hadi saa 5. Simu mnarudishiwa saa 8 mchana. Kanda zote zikiwa zime maliza mtihani.
Mawasiliano ya Ofisa incharge ya kila kanda yapo. Ina wezekana. Kuanza muda mmoja. Kumaliza muda mmoja. Kutoka Room ya mtihani hadi Confirmation ya Kanda zote.

Kila kitu kina wezekana karne hii. Sema PSRS wana mawazo ya ki traditional sana.
 
Pepa zikiwa tofauti tutaaminije kama pepa ya kanda ya kati ilikuwa nyepesi kuliko kanda ya mashariki??mfumo wa sasa unasaidia sana kuliko huo mnaoutaka
 
Nime toa option 2. Pepa ina weza kuwa moja muda tofauti. Afu mbona chuo Final ni tofauti na Supp au Special. Wa kufeli na kufaulu wapo tu.

Sema pendekezo bora. Ni mtihani mmoja. Muda sawa wa kuanza na kutokq.
 
Okay lakini nafikiri hizi mbanga za utumishi hujazifatilia vizuri hebu zifatilie halafu utaelewa nnachokimaanisha mzee
 
Back
Top Bottom