MWALIMU: Tunga sentensi kwa kutumia neno SUKARI....
MWANAFUNZI: Jana nilikunywa chai na chapati...
MWALIMU: Sasa hapo kwenye hiyo sentensi neno SUKARI liko wapi???
MWANAFUNZI: Sukari iko ndani ya chai....
--------*******--------
MWALIMU: Tunga sentensi kwa kutumia neno TUMAINI...
MWANAFUNZI: Tumaini twa kuku ni tudonyo lakini tutamu kuliko twa mbuzi....
CHEZEIYA BIG RESULT NOW!!!!