Hebu tuambie: Ni mwanaume mwenye tabia zipi huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

Hey ladies, leo nimeona tuambiane ni mwanaume mwenye tabia gani huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

Binafsi siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume anayevaa boxer ya kitenge au mvuta sigara
Kuvaa Boxer ya vitenge sio tabia ? Ni aina ya fashion. Au uchumi wake ni hafifu.
 
Hey ladies, leo nimeona tuambiane ni mwanaume mwenye tabia gani huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

Binafsi siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume anayevaa boxer ya kitenge au mvuta sigara

Msanii, anayejulikana na kila mtu mtaani/mjini, mshamba anayependa sifa aisee
 
Back
Top Bottom