Hebu Tia neno kwenye hii picha

Rais mrefu pengine kuliko Marais wote Africa ila nyumbani kwake ni Andunje

Kinacho tisha zaidi ni watoto watakao zaliwa na Angel na Mumewe duuu
 
So kifupi unataka kusema Rwanda hayo maradhi ya kuridhi yapo kwa kiasi kikubwaKuliko sehemu nyingine?
 
Lakini sidhani Kama hawa ni familia moja mkuu
Ofcourse sio familia moja, ila ni kwamba wamezaliana koo watu wa karibu karibu kiasi hadi watutsi wote wanafanana sura sasa, na hiyo ni sababu ya inbreeding depression.
 
Juzi nilipanda bus la kutoka Rwanda..jaman hawa watu ni watraaamuuuu😋😋😋!huyo wa kwanza kushoto nimemwelewa sana...mwanaume mwenye tege huwa ni added advantage😋😋!...sasa huyo akukumbatie💃💃💃
😂😂😂😂😂😂😂
mxeeew hahahaah
 
Yaani PK anaonekana andunje.
WANASEMA SANA KUWA UMRI UKIENDELEA KUSONGA MBELE UNARUDI KUWA MTOTO HADI KIMAUMBILE UNARUDI CHINI. HAPO PK HAJAANZA KUSHIKA MKONGOJO NDIO ISSUE NYINGINE KABISAA.
 
U welcome am here for u!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…