Hebu Tia neno kwenye hii picha

Rais mrefu pengine kuliko Marais wote Africa ila nyumbani kwake ni Andunje

Kinacho tisha zaidi ni watoto watakao zaliwa na Angel na Mumewe duuu
 
Ni 'inbreeding' na sio 'inbreading'. Genetic diversity si urefu/ufupi tu, genetic traits ambazo zinaweza kuwa buffed up ni nyingu mno. Sasa tatizo la inbreeding ni kwamba magonjwa ya kurithi kama albinism au sickle celld anaemia yanakuwa yanajiyokeza zaidi kutokana na uwezekano mkubwa wa kupatikana homogenous chromosomes, yaani baba anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haijimanifest kwa sababu ni heterogenous, na mama nae anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haumwi kwa sababu ni heterogenous, sasa hawa wawili wakizaa mtoto kuna kuwa na 25% chance wakazaa mtoto mwenye seli mundu homogenous na hivyo ataumwa, tofauti na kama wange-diversify gene pool na kuoa mbal zaidi. Ni biology ya fm4 nadhani hii.
So kifupi unataka kusema Rwanda hayo maradhi ya kuridhi yapo kwa kiasi kikubwaKuliko sehemu nyingine?
 
Lakini sidhani Kama hawa ni familia moja mkuu
Ofcourse sio familia moja, ila ni kwamba wamezaliana koo watu wa karibu karibu kiasi hadi watutsi wote wanafanana sura sasa, na hiyo ni sababu ya inbreeding depression.
 
Juzi nilipanda bus la kutoka Rwanda..jaman hawa watu ni watraaamuuuu😋😋😋!huyo wa kwanza kushoto nimemwelewa sana...mwanaume mwenye tege huwa ni added advantage😋😋!...sasa huyo akukumbatie💃💃💃
😂😂😂😂😂😂😂
mxeeew hahahaah
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom