Hebu sikiliza huu ushauri

Hebu sikiliza huu ushauri

Tatizo wanaume wa siku hizi wamekuwa mabitoozi ndo maana hata wake zenu wanawadharau! Mwanaume unatakiwa huwe dikiteta, fashist huku ukizingatia haki za msingi za mwanamke kama malazi bora, mavazi, na chakula!
Kua fascists utaishia kupelekwa lupango au kaburini kabla ya siku zako zama zimebadilika...kama hujajiandaa kisaikolojia kataa ndoa.
 
Screenshot_20230926-144158_Quora.jpg
 
Kua fascists utaishia kupelekwa lupango au kaburini kabla ya siku zako zama zimebadilika...kama hujajiandaa kisaikolojia kataa ndoa.
Unajua kuwa fascist? Dictator? Sio kuvunja sheria! Ni mfumo fulani wa maisha wa kumtiisha mwanamke akutii! Cha msingi mpe haki zake! Hata hivyo wanawake wanataka wanaume mafascist/dictatorship, authoritarian!
 
Asipo respond na mdundo wa ngoma yako ndo mwanzo wakudungana visu
 
Pima urefu wa kina kabla ya kuogelea! Mpime huyo unayetaka kuoa kama utammudu vinginevyo piga chini! Panua wigo broh! Wanawake wengi wa kuolewa waliotayari kutii waume zao wapo!
 
Hata Biblia imeandika mwanamke mkorofi ni mateso Kwa mumewe wewe ni nani upinge.
Kwahiyo unataka kuniambia kila mme aliyeoa anaishi maisha ya shida na mkewe? Mimi naishi peaceful na my wife changamoto ndogo ndogo zinanisaidia jioni kumpelekea moto mpaka anapiga poo! Wako wengi wanamissiana na wenza wao kila dakika! Kama unaishi maisha ya msoto basi na wewe ni mwanamme dhaifu!
 
Kila mtu ana experience yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom