mi naona unajidanganya sababu kwa jinsi nnavyojua lov inakuja yenyewe labda ujiweke mbali na watu, ninacho kiona hujaonana na mtu atakayeteka moyo wako, ukimuona unasisimka, ukiongea nae unapata raha, hapo ndipo utakapo amini miaka 3 ni kifungo cha maisha.
hata mimi ilishawahi ntokea nikajipa likizo ya mwaka kutotaka kumsikiliza mwanaume.Hiyo yako ni ndefu mno maisha mafupi ya nini ujikoseshe raha?
nadhani hiyo miwili imetosha sasa anza kusikiliza kidogokidogo.
ANGALIZO:usimkaribie mtu asiye na hofu ya mungu, kuna wakaka kibao wanakwaya/wainjilisti makanisani kama vipi anza kujifua kuima nadhani hili halitamchukiza MUNGU manake unamtaka kondoo wake kwa nia safi.
Asante Subzero, kwa hiyo unanishauri niendelee na likizo mpaka hiyo hapo kwenye red itakapotokea siyo?
hehehe let me reserve my comment kwenye hiyo red!!hata mimi ilishawahi ntokea nikajipa likizo ya mwaka kutotaka kumsikiliza mwanaume.Hiyo yako ni ndefu mno maisha mafupi ya nini ujikoseshe raha?
nadhani hiyo miwili imetosha sasa anza kusikiliza kidogokidogo.
ANGALIZO:usimkaribie mtu asiye na hofu ya mungu, kuna wakaka kibao wanakwaya/wainjilisti makanisani kama vipi anza kujifua kuima nadhani hili halitamchukiza MUNGU manake unamtaka kondoo wake kwa nia safi.
usijichanganye kwa wapiga vinanda, au kwaya masters kwani hao ni wanamziki kama walivyowengine ha matendo yao hayana significant difference.Kumbe unawajua eehAsante Martina, kumbe inwezekana kwenda likizo ukiamua, mwaka mmoja nayo nahisi kwa watu wengine ni mrefu sana.
Hao wakaka hapo bwana duuuuuuu!!! Au acha nisiseme kitu.
Asante Martina, kumbe inwezekana kwenda likizo ukiamua, mwaka mmoja nayo nahisi kwa watu wengine ni mrefu sana.
Hao wakaka hapo bwana duuuuuuu!!! Au acha nisiseme kitu.
kwenye bold hapo ni UPOTOSHAJI.....!Kila kitu ni uamuzi LD, kama umeamua utaweza, miaka mitano siyo mingi ukiwa unaishi na amani....................
fuata nafsi yako. kupumzika hasa baada ya kuvunjika moyo ni kuzuri sana ingawa wadada wengi hawataki kufanya hivyo, na matokeo yake unajikuta unahama kwa mkaka mmoja baada ya mwingine maana kila mwanaume unakuwa humwamini.
My advice to u LD, take as much break as you can, hata ikifika miaka 10, so long as you are happy.
pls kimey weka hizo koment zitasaidia.hehehe let me reserve my comment kwenye hiyo red!!
Mshiki nina swali Dogo tu kwako!! Hivi baada ya hiyo miaka Mitano then utaamua kupenda tena kama zamani? utapenda kidogo? au utafanyaje?
Nasubiri jibu ili nije na maswali mengine!!
pls kimey weka hizo koment zitasaidia.
(wa kuwakwepa ni kwaya masta na wapiga vinanda manake hawa ni ....)