Kuna mzee nilimwuliza kuhusu swala zima la kuoana. Nia ilikuwa ni kujua taratibu za kila kabila kuhusu swala hili mwishowe akasema zamani kulikuwa na baadhi ya makabila wanawake wa hayo makabila hata kama wamesha olewa kugawa uroda sio inshu kwao . Hebu nisaidieni japo moja