Ukiondoa mambo ya kiingereza; Mtoto anayeuliza swali hilo lazima atakua na matatizo upstairs. Kama ana uwezo wa kuuliza swali kama hilo anatakiwa kuwa mature enough kujua yeye ni wa ngapi kwa baba yake unless baba ni mwingi mno kiasi cha kuzaa hovyo hovyo na wanawake tofauti! hata kama ni hivyo mtoto atakuwa amekosa adabu kwa baba yake pamoja na makosa ya huyo baba.
sawa tu mkuu, lakini among all "childrens" haijatulia. plural ya child ni children hatuongezi "s" isipokuwa kama tunazungumzia possessive na inakwenda na apostrophe, mfano: children's school!!!