Elections 2010 Hebu ona huu upuuzi

hivi, mnachukizwa na nini haswa? vijana kusherekea na kuonyesha furaha yao? kwa vile bado wanafunzi wasiwe na any preferences whatsoeva? mimi ninachokiona kwenye hii clip ni nyuso za furaha! kila mtu yuko entitled to his/her opinion hata kama bado mwanafuzi kuita upuuzi huu tena ni kusimanga watu.
duh... usha-multiply???

kweli wewe ni virus, ngoja tumwite mkoloni na mr sugu wakupe antivirus
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom