Hebu ona hii hapaaa!

Hebu ona hii hapaaa!

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
1,132
Reaction score
188
Mzee wa Kipemba kaletewa habari mwanawe kafa Makkah.
Mzee akasema; "Nkusudiii! Ee ntu alikua yukwao Pemba ninzimaa, kankwenda nchezea Mungu nyumbanikwe! asife angoje nii!"
 
Aisee zinachekesha nikijitekenya hadi basi.
 
Kusema za ukweli sijaelewa na kwahiyo sijachekeshwa kabisaaaaa.
 
Usi-undermine race nzima ya wapemba sababu ya mtu mmoja, its not fair.
Kuna actor mwanaume, mkongwe nimemsahau jina, aliwahi sema hadharani kwamba ana-support Aldolf Hitler kuua Jews.

Ilimcost sana, japo aliomba msamaha in public lakini haikusaidia.
Hata kama hatujuani kwa hizi ID, kuponda wapemba wote sababu ya mtu mmoja, hell NO.

kwani wapemba watuu?? madubwana tu yale mpssxxyy mijitu gani inamatusi kama fisi maji.. nna rafiki yangu alikua anamtania babake ati nje kuna mgeni wako mzee wa kipemba (ubwabwa type ofcourse, mnene **** liko kule na matege yao) alimfumulia matusi mbaka tuliaga
 
Mkuu kwani ilikuaje hata ukafika huku! Kumbuka hoja hujibiwa kwa hoja sio kubwabwaja..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom